Confirmed:hali tata kati ya Marekani na Ujerumani.

Ndio mkuu hawa US awaishi vituko kibaya zaidi wanawaspy hadi washirika wao wa karibu, hii ina maanisha ni kivipi wasivyo waamini nchi yoyote ila kwa kitendo walichomfanyia huyo Kansela wa Ujerumani ni utovu mkubwa wa nidhamu na kitendo kisichovumilika.

Baada ya kale ka mchezo kao ka kuigiza ka Syria kuonekana kukaribia kufikia mwisho sasa wanataka kuanzisha kengine

Hovyo sana hawa watu!
 
Ndio mkuu hawa US awaishi vituko kibaya zaidi wanawaspy hadi washirika wao wa karibu, hii ina maanisha ni kivipi wasivyo waamini nchi yoyote ila kwa kitendo walichomfanyia huyo Kansela wa Ujerumani ni utovu mkubwa wa nidhamu na kitendo kisichovumilika.

Huu mchezo wa kuigiza ninamaanisha kuwa hakuna cha ugomvi wala nini na wala Marekani haijaspy chochote hapo

Mtu kama chansela wa Ujerumani hawezi kuwa na ulinzi wa chini kiasi hicho

Haiwezekani hata kidogo!
 
Nakubaliana na wewe kwa jinsi upepo unavyoonekana.
 
kwahiyo wanaigiza siyo! Sasa kama wanaigiza kuna vitu lazima tujiulize hapa: kwanza ni kwa nini huo uigizaji usifanywe kwa mtu mwingine tofauti na Kansela wa Ujerumani lets say ata kwa mawaziri wake? La pili ni kwanini uigizaji huo ufanye hadi balozi wa USA nchini Ujerumani aitwe kujieleza ambayo ni hatua ya mwisho katika mediation kabla ajarudishwa nyumbani? Ebu jiulize huo uigizaji ukoje?

Jibu ni rahisi sana
Wanataka kuleta mtafaruku fake ili wapate justification ya malengo yao!
 
Eee mola muweza wa yote!tunakuomba sisi tulio wanyonge ufanye namna taifa la marekani lianguke kama yalivyoanguka mengine mengi yaliyopita....e mungu utusaidie kutuepuhsa na hawa maagent wa shetani hawa wasifia maovu na washirika wake uwachanganye na kuwavuruga kama ulivyofanya pale babeli...amen

Dua la kuku, mola mwenyewe mfu
 
umbea mwingine sio mzuri. Sasa hiyo hali tata iko wapi? na mambo ya Ujerumani na USA yanatuhusu nini watanzania. Alafu vilaza vingine wanakusapoti

Kazi za vijiwe vya gahawa hizo Mkuu. Wako na viredio wakiswali marekani ianguke, badala ya kupeleka watoto shule na kutengeneza makazi bora ya kuishi!!
 
ni kweli mkuu wakati mwingine vijiwe vya kahawa pia ni nzuri kwani tunabadilishana mawazo.
Kwa upande wa pili ujumbe wako umewafikia Walengwa siyo mimi nilichofanya ni kuleta mada ijadiliwe hapa jukwaani kwani kitendo cha US kuhacked mawasiliano ya Angela ni kitu ambacho imeifanya Ujerumani wamuite balozi wa marekani kujieleza.
Mwisho tambua kuwa dola yoyote kuporomoka inategemeana na Internal political stability maintained by certain state ndipo ufuatiwa na external affairs ambao ujengwa na internal affairs Ila pia tambua kua kama ilivyo Zanzibar kulalamika kumegwa na Tz bara vivyo hivyo na majimbo mengine ndani ya USA navyo ulalama na atujui nini hatma yao,tukumbuke iliokuwa USSR na pia tukumbuke Yugoslavia. Siiombii dola ya America ku collapse la hasha.
GOD BLESS TZ
GOD AFRICA
GOD BLESS USA
GOD BLESS ALL CONTINENTS amen.

Kazi za vijiwe vya gahawa hizo Mkuu. Wako na viredio wakiswali marekani ianguke, badala ya kupeleka watoto shule na kutengeneza makazi bora ya kuishi!!
 
kweli us ni laanatullah kama asemavyo ala maalim dr kahtaan
 
Last edited by a moderator:
[h=2]US ‘bugged Merkel’s phone from 2002′[/h]
[h=3]The US has been spying on German Chancellor Angela Merkel’s mobile phone since 2002, according to a report in Der Spiegel magazine.[/h]
Merkel.jpg

German Chancellor Angela Merkel

The German publication claims to have seen secret documents from the National Security Agency which show Mrs Merkel’s number on a list dating from 2002 – before she became chancellor.
Her number was still on a surveillance list in 2013.
Meanwhile Washington has seen a protest against the NSA’s spying programme.
Several thousand protesters marched to the US Capitol to demand a limit to the surveillance. Some of them held banners in support of the fugitive former contractor Edward Snowden, who revealed the extent of the NSA’s activities.
‘No-spy deal’
The nature of the monitoring of Mrs Merkel’s mobile phone is not clear from the files, Der Spiegel says.
For example, it is possible that the chancellor’s conversations were recorded, or that her contacts were simply assessed.
Germany is sending its top intelligence chiefs to Washington in the coming week to “push forward” an investigation into the spying allegations, which have caused outrage in Germany.
On Friday, Germany and France said they want the US to sign a no-spy deal by the end of the year.
As well as the bugging of Mrs Merkel’s phone, there are claims the NSA has monitored millions of telephone calls made by German and French citizens.

Details
The documents seen by Der Spiegel give further details of the NSA’s targeting of European governments.
A unit called Special Collection Services, based in the US embassy in Pariser Platz in Berlin, was responsible for monitoring communications in the German capital’s government quarter.
If the existence of listening stations in US embassies were known, there would be “severe damage for the US’s relations with a foreign government,” the documents said.
Similar units were based in around 80 locations worldwide, according to the documents seen by Der Spiegel, 19 of them in European cities.
The US government had a second German spy base in Frankfurt am Main, the magazine reports.
Mrs Merkel phoned the US president when she first heard of the spying allegations on Wednesday.
President Barack Obama promised Mrs Merkel he knew nothing of the alleged phone monitoring, the magazine reports. He apologised to the German chancellor, it said.
The scandal has caused the biggest diplomatic rift between Germany and the US in living memory, reports the BBC’s Damien McGuinness in Berlin.
Mrs Merkel – an Americophile who was awarded the US Presidential Medal of Freedom in 2011 – is said to be shocked that Washington may have engaged in the sort of spying she had to endure growing up in Communist East Germany.
Agencies
 
In this situation, there is a probability for the emeging of cold war among the G20s'
 
Mkuu R.B naomba haya maelezo mods waunganishe na thread hapo juu mkuu Invisible na Paw msaada tafadhali

acha uchoko, kilaza ww usietaka kujua kinaendelea nn duniani
 
Huu mchezo wa kuigiza ninamaanisha kuwa hakuna cha ugomvi wala nini na wala Marekani haijaspy chochote hapo

Mtu kama chansela wa Ujerumani hawezi kuwa na ulinzi wa chini kiasi hicho

Haiwezekani hata kidogo!

ww kansela markel wameanza kumchunguza tangu mwaka 2002 kabla hajawa kansela
 
Huyu jamaa inabidi umsamehe bure tu mkuu SAYEED kwani ajui alinenalo sababu anadhani kila kitu watu wanaojadili hapa ni umbea tu.

Back
Top Bottom