Confirmed:hali tata kati ya Marekani na Ujerumani.

Confirmed:hali tata kati ya Marekani na Ujerumani.

Ya pale magogoni hawawezi kuyanasa,,maana kuna african magic
 
Hata hapa nchini kuna idara hiyo maalumu ambayo inafuatilia mawasiliano ya binadamu yeyote
 
Eee mola muweza wa yote!tunakuomba sisi tulio wanyonge ufanye namna taifa la marekani lianguke kama yalivyoanguka mengine mengi yaliyopita....e mungu utusaidie kutuepuhsa na hawa maagent wa shetani hawa wasifia maovu na washirika wake uwachanganye na kuwavuruga kama ulivyofanya pale babeli...amen

Maybe after 1000yrs.
 
umbea mwingine sio mzuri. Sasa hiyo hali tata iko wapi? na mambo ya Ujerumani na USA yanatuhusu nini watanzania. Alafu vilaza vingine wanakusapoti

tatizo lako ujui dunia inakoenda ni wapi? Wewe ni kilaza mtu ulie LACK SELF ESTEEM, pole sana mkuu hii yote products ya Mulugo na shule za kata.
 
Shuguli za taasisi za kijasusi popote duniani ni za kuchunguza na kudodosa wakati wote, si maadui lakini hata marafiki si wakati wa vuguvugu la vita tu lakini hata wakati wa amani kuu, sioni chakushangaza sana kusikia marekani waki tap mawasiliano ya chancelor Merkel., pengine zaidi sana kama ningali kuwa katika nafasi ya Chancelor Merkel ningejiuliza tu walikuwa wapi watu wa idara ya ujasusi wa ujerumani kuachia hadi wamerekani ku tap mawasiliano yangu?

maana si kweli kwamba ati wajerumani wao hawa fanyi ujasusi katika mataifa mengine! si kweli hata kidogo!.
 
Ok mkuu Y. Nyerere ebu tujuze vizuri inavyokuwa kwani hili ni jambo nyeti sana kwa maslahi ya nchi yetu.

Hata hapa nchini kuna idara hiyo maalumu ambayo inafuatilia mawasiliano ya binadamu yeyote
 
Hii kitu imenifurahisha sana.Najaribu kutafakari kwa nini haya mataifa hayakukaa kimya ili nayo yastrategise namna ya kudeal na Marekani?Je kuna kuna jambo wameshtukia kwamba Marekani imeishajua then wametaharuki?
 
Ok mkuu Y. Nyerere ebu tujuze vizuri inavyokuwa kwani hili ni jambo nyeti sana kwa maslahi ya nchi yetu.

Kwamaslahi ya taifa langu naomba utambue hivyo nilivyosema,

Taifa lolote linazo idara za kijasusi na huwafuatilia watu wote wanaowatilia shaka, hasa kwenye simu, barua pepe, mienendo yake ya kila dakika, ikiwemo kupandikiza deep cover na kutambua lugha za mafumbo za majasusi,

Zingatia kuwa jasusi wa kigeni nae anambinu za kuwalamba chenga majasusi wetu
 
Katika ubora wa watu kwa kauli yako hii inanionyesha wewe ni last class person...chochote hutokea ilianguka troy,ikaanguka misri, why not america labda wewe ni mpagani sitakulaumu
endelea kuota hivyo hivyo....
 
aah! Kumbe ni kama CDM tu wanavyonasaga mawasiliano ya TISS na kuyaweka hadharani. Yaelekea hii technologia CDM wameipata kwa USA. Nakumbuka walinasa hata barua pepe kati ta Zitto na Othman kisha wakanasaga na yale mawasiliano ya kina Jack Zoka
 
Well narrative comment from great thinker, but do you think NSA to spy and hacked Angela's information can be tolarated?

Kwamaslahi ya taifa langu naomba utambue hivyo nilivyosema,

Taifa lolote linazo idara za kijasusi na huwafuatilia watu wote wanaowatilia shaka, hasa kwenye simu, barua pepe, mienendo yake ya kila dakika, ikiwemo kupandikiza deep cover na kutambua lugha za mafumbo za majasusi,

Zingatia kuwa jasusi wa kigeni nae anambinu za kuwalamba chenga majasusi wetu
 
Hii ni kufuatia kudokolewa kwa mazungumzo ya Kansela wa Ujerumani Angeler Markell kwenye simu yake na shirika la NSA. La Marekani, mpaka sasa Balozi wa USA nchini Ujerumani ameitwa kujieleza,ila Obama na serikali yake wamekanusha taarifa hiyo. Je nini kitatokea wakati Umoja wa Ulaya ukikutana leo mjini Brussles Ubelgiji? Lets keep loading......

Source:BBC WORLD NEWZ.

Baada ya kale ka mchezo kao ka kuigiza ka Syria kuonekana kukaribia kufikia mwisho sasa wanataka kuanzisha kengine

Hovyo sana hawa watu!
 
Walianza kuingilia mawasiliano ya simu yangu, dakika moja baadaye wakahamia kwa huyo kansela.....magumashi mzee wa.
 
Inamaana Marekani hawaamini hata washirika wake mpaka awe anawachunguza kiasi hicho au hofu yake hasa ni nini?

Hahahahha naona wanaappy ule usemi usemao.........Adui zako ni wale wa nyumbani kwako......... Akujuaye ndie akuchomaye.................
 
Eee mola muweza wa yote!tunakuomba sisi tulio wanyonge ufanye namna taifa la marekani lianguke kama yalivyoanguka mengine mengi yaliyopita....e mungu utusaidie kutuepuhsa na hawa maagent wa shetani hawa wasifia maovu na washirika wake uwachanganye na kuwavuruga kama ulivyofanya pale babeli...amen
Ili iweje! Nenda kavae chupi ndo ulete hii sala zako.
 
Katika ubora wa watu kwa kauli yako hii inanionyesha wewe ni last class person...chochote hutokea ilianguka troy,ikaanguka misri, why not america labda wewe ni mpagani sitakulaumu
troy ilikuwa dola gani na ilitawala nyakati zipi. Na misri iliwahi kuwa super power lini? Nenda kakojoe!
 
Back
Top Bottom