confidence imepungua... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

confidence imepungua...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Muuza Sura, Oct 18, 2011.

 1. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  sasa nimejua kwanini wachezaji wakubwa wakiwa na ukame wa mabao kujiamini kunashuka!kweli mwanaume siyo sura bali ni kazi ya kiume!wiki kadhaa sasa kila nikilala na mzigo nashindwa kuperform vizuri aidha nawahi au nikipiga cha kanu la pili kazi nzito!....nimeanza kuogopa mademu
   
 2. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  dogo unajua leo!kaka zako sifa zetu hazipo magazetini bali katika mbao za fundi seremala za kulalia....
   
Loading...