Confessions: Nilimfukuza kaka yangu kichawi

Yesu akaambiwa, ' Mama yako na ndugu zako wanakusubiri hapo nje ". Yesu akawajibu "Ndugu zangu ni wale wanao nipenda na kufuata maagizo yangu ".Hata Mungu anawapenda wanao mpenda

Asiyejua maana, haambiwi maana!
 
Kulikuwa na alternative mbili, apotezwe gerezani au afukuzwe.Ya kufukzuwa ndo nimeona inamfaa.Na gerezani nisinge mpeleka mimi, coz kila siku zinaletwa kesi, ingekuwa ni ishu ya kutomuwekea dhamana, na kumuacha aozee segerea.


Bora ungemwacha akaonje jela mara kwa mara na kutoka angejifunza jambo kuliko kumtenganisha na ndugu zake kabisa hata kama mkorofi. Kama hukuntaka yeye basi acha aonane na ndugu zake wengine kuliko kumpoteza kabisa.
You are such an evil for god's sake.
 
Mkuu lete huo uchawi tufukuze maccm yote tanzania
 
wewe jamaa una roho ya kichawi.
 

Wafanyie ccm watoke nduki wametuchosha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…