Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,553
- 14,326
Nimenunua maana sikuwa na namnaKwahiyo ulinunua ya 3000?
Ungeacha.
Condom adimu sehemu zote mkuu nafikiri jiwe anataka kutuua kwa ngoma ila sio mbaya mwana mi ni mwendo wa kavu tuLeo demu kaja gheto , ila bahati mbaya yupo kwenye danger period
Sasa nikasema ngoja niende pharmacy kununua ndomu....yaani huwezi amini nimezunguka maduka kama matano duka la sita nikakuta zipo za Rough rider bei ni 3000, kiukweli roho imeniuma kutoa hela yote hii maana nimezoea zile za 500.
Hili tatizo ni huku au na huko kuna uhaba kama huku?
Kazi tunayo kwakweli mwaka huu
Itakuwa inawachoma choma mule ndani na kuwa karaha badala ya rahaTafuta vile vifuko vyeupe vya plastick na rubber band kivae halafu kwa juu kibane,,,,, kwisha kazi
Itakuwa inawachoma choma mule ndani na kuwa karaha badala ya raha
Mtuchezee tu,tumwage nje.Tuwasaidiaje sasa?
Mtuchezee tu,tumwage nje.
ha ha ha ha ukizoea hakuna ugumuKazi ngumu hiyo
Mkuu kweli wewe jasiriCondom adimu sehemu zote mkuu nafikiri jiwe anataka kutuua kwa ngoma ila sio mbaya mwana mi ni mwendo wa kavu tu
Tafuta vile vifuko vyeupe vya plastick na rubber band kivae halafu kwa juu kibane,,,,, kwisha kazi
Sio unatusaidiaje. ....sema tunasaidiana vipiTuwasaidiaje sasa?