chagga land
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 394
- 95
Wadau shirika la habari la idhaa ya kiswahili la BBC limefanya utafiti na kuripoti kuwa kuna uhaba mkubwa sana wa condom katika visiwa hivyo.
Tafiti hiyo imeenda mbali zaidi na kuripoti kuwa, kutokana na kuongezeka kwa watu visiwani humo ambao wanaenda kwa shughuri mbali mbali pamoja na utalii ambao wanaweza kujihusisha na mapenzi lakini visiwa hivyo vimejikuta kuwa na idadi ndogo ya condom na hazitoshi kabisa kabisa!
Chanzo cha upungufu huo imesemekana kuwa jamii kubwa ya Zanzibar inaamini sana katika dini na hivyo kuwafanya hata wale wenye viduka vidogo kuogopa kuuza condom kwa sababu wanaona kuwa watachochea dhambi ya uzinifu.
Taarifa hiyo ikahusianisha hali ilivyo kwa upande wa Tanzania bara na visiwani kuwa upande wa bara kuna condom za kutosha na zingine huwa zinatupwa hadi barabarani na njiani. Taarifa imesema kuwa 99% ya maduka na viduka vya Bara yanauza condom.
Chanzo: BBC Swahili