Condom zaadimika ghafla visiwani Zanzibar

Condom zaadimika ghafla visiwani Zanzibar

Hahahaaaaa mkuu nimecheka sana!
Kiukweli kabisa hakuna familia ambayo haikosi aliyeungua, ni jambo la kumshukuru Mungu kama bado hujapata maambukizi.

Hataree...! Sikumanisha kuugua ni vibaya jinsi anavyokwenda bila tahadhari anaumiza watu huyo..! Ata kwetu my sister anaumwa but yeye anajulikana hivyo umma unajua labda mtu achague mwenyewe...! Nifa basi nitakuomba tuseal deal basi ila lazima tukahakikishe kwanza..!
 
Ni vizuri ukiwa na condom zako za kutosha nyumbani.
Mechi za ghafla zipo nyingi sana, na ndo zinazounguza watu.
 
Kondom zipo nyingi tu hela yako wana kondom za bei hawana za msaada au salama za mia tano ndo maana ukasema hakuna ukiwa na elf tano yako unapata maduka yote ya madawa wao hawauzi salama za jelo wala za msd hawazitaki
 
hiivyoo
 
shauri yao !
unajifanya mwana dini mchukia condom lakini mizigo unakula..
waache hiv iwatafune.

Kwani zanzibar ina asilimia ngapi ya maambukizo ya hiv ukilinganisha na huko bara ambako mpk barabarani zipo condom ? Dini ndio maadili mazuri bila ya kuwa na dini na kuifuata wew huna maadili mazuri.
 
Back
Top Bottom