condom.......kwa kiswahili..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

condom.......kwa kiswahili.....

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by The Boss, Mar 18, 2012.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Nimeona nije niilete hapa...
  zamani niliwahi kuambiwa Condoms kwa kiswahili zinaitwa KIFUDUSI au VIFUDUSI..Kwa wingi...

  lakini sijasikia saana haya maneno yakivuma....
  sasa naona ni wakati muafaka yakatumika na kama kuna mtu anajua zaidi ya haya
  aweke hapa wengine wajifunze
   
 2. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Naomba kifudusi cha salama....dah imetulia aisee! Kiswahili kizuri sana
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  neno condom ni kama matusi hadharani
  bora tutumie kiswahili chetu tu
   
 4. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wale wazee wakiswahili wao ndio wanaoharibu kiswahili
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  livipi labda?
   
 6. paty

  paty JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  kifudusi ???? duh . kama mzizi vile , muuzaji nipe kifudusi cha ruff ryder.
  it sound weird
   
 7. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,342
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  nashukuru kwa tafsiri. Mi zamani nilikuwa ninaita GAMBA. Nisaidie gamba la salama
   
 8. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  What is the etymology of neno "kifudusi"
   
 9. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kufududua kwa kifudusi. Kiswahili kinazidi kuwa kigumu!
   
 10. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Congrats wewe uliyegundua JF. Manake dah.
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Sasa The Boss, unataka kuanza kufanya u-kharamu pwani? Watakukimbiza na bakora wazee wa kule,ooho! Na vifudusi haviuzwi hadharani!
   
 12. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Wala sifahamu lilipatikana vp..labda umuulize The Boss mm ndio nimesikia kwake leo kwa mara ya kwanza!
   
 13. Allah's Slave

  Allah's Slave JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  inaitwa mpira wa kiume. Dukani wateja wanaiita soksi ya mguu wa kati.
   
 14. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hahahahaha, hapo The Boss anaweza kumwambia mwenzie na dada akabaki Kumshangaa tu (like: WTF is he talking about???)
   
 15. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Condom kwa kiswahili yaitwa SHAKOSHI!
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Duh. . . . .
  Eti, baby umekuja na kifudusi? Mwishowe wataita kifusi bure :lol:
   
 17. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  RR umeona eeeh?
   
 18. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sijui yuko wapi. Nadhani yuko eneo wasipo ongea kizungu, na maybe huko alipo 'condom' ni matusi. so anataka kujifunza misamiati mipya. lolest
   
 19. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,811
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Nimesikia jamaa anaagiza dukani nipe kifanyio lafu laida.
   
 20. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wanaharibu maana wanakaa kama kamati na kutafuta neno la kiswahili badala ya kuacha lugha ijipanue yenyewe-mbona tunatumia maneno ya kiarab,kireno n.k
  so naon kwa maneno kama kondom,password yaachwe yabakie kama yalivyo-ijulikane ni neno la kigeni tumeazima-kuliko kukaa na kutafuta maneno wanayojua wao wenyewe na kufanya hata sisi waswahili tushindwe kuyafahamu
   
Loading...