Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Mgombea ubunge wa Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Condester Michael Sichalwe (Mundy), ameibuka mshindi wa kura za maoni ndani ya chama hicho kwa kupata kura 4,872, sawa na 44.04% ya kura zote halali zilizopigwa.
Akitangaza matokeo hayo Sukuru Kataba, katibu wa CCM Wilaya ya Momba amesema Katika uchaguzi huo wa mchujo wa ndani ya CCM, jumla ya wagombea sita walijitokeza kuwania nafasi hiyo, ambapo matokeo rasmi yalikuwa kama ifuatavyo:
1. Condester Michael Sichalwe (Mundy) – kura 4,872 (44.04%)
2. Ombeni Ndililo Nanyalo – kura 4,190 (37.87%)
3. Edward Joshua Kakwale – kura 1,280 (11.57%)
4. Mathew Michael Chikoti – kura 498 (4.50%)
5. Martin Elivathan Silwimba – kura 153 (1.38%)
6. Steve Sichula – kura 73 (0.66)