computer yangu inapata heat sana,nisaidieni tatizo itakua nini?

flyn rider

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
456
77
computer yangu sony vaio core i3, ram 3gb,hdd 320 e series vpceb44en inapata heat sana mpaka naogopa naombeni kujua tatizo itakua nn maana feni linafanya kazi ila naona kama halisaidii kitu
 
Heat kwenye machine huwezi kuprevent, kama processor yako na gpu zinaheat sana anytime ukifanya heavy tasks kwenye computer ni lazima ita-heat tu.. feni uliyonayo haitoshi.. ongeza nyingine, there's no alternative ya hii kitu.
 
Heat kwenye machine huwezi kuprevent, kama processor yako na gpu zinaheat sana anytime ukifanya heavy tasks kwenye computer ni lazima ita-heat tu.. feni uliyonayo haitoshi.. ongeza nyingine, there's no alternative ya hii kitu.

unaweza kuongeza nyengine kivipi mkuu?
 
Heat kwenye machine huwezi kuprevent, kama processor yako na gpu zinaheat sana anytime ukifanya heavy tasks kwenye computer ni lazima ita-heat tu.. feni uliyonayo haitoshi.. ongeza nyingine, there's no alternative ya hii kitu.
hio processor za gpu ndio zipi mkuu?
 
nenda task manager then resource monitor uangalie vitu vyako vinamax vipi, pia cpu za zamani nyingi zinaheat sana.
 
1. Kama unatumia W8 au zaidi,piga chini hiyo..weka W7 tena 32bit,
2. Kama unatumia power plan balanced,change into power saver,
3. Epuka kuweka pc mapajani,juu ya kitambaa au kwenye godoro,
4. Hakikisha hakuna obstruction kwenye vents ili fans zifanye kazi sawa sawa.
5. Ingia kwenye task manager,disable applications zote usizozitumia zinazorun background.

NB: Hapo juu ni huduma ya kwanza tu..tiba kamili ni kununua pc nyingine.
 
Msaada jmn pc yangu hp elite book .imekuwa nzito ajabu ghafla tu .yani adi inaboa
 
I think I can help..

Kama inaheat sana na feni inazunguka sana inakuwa inajaribu ku regulate amount ya ufanyaji kazi wake (running of windows registry and processor regulation speed)unabidi utumia njia zifuatazo..

1. Kama unatumia windows 7, nenda start>computer/my computer>right click>properties>rerun-assessment

2. Halafu nenda advanced setting u run index, namba zitacount za mafail yote na program zilizopo ktk computer halafu zitamaliza

3. Fungua katika control panel (windows zote inatumika), kisha nenda system and security>find and fix computer programs
WINDOWS 8 and 10
Nenda sehemu ya search andika system index
Run "index"
Hakikisha vitu vifuatavyo viko sawa
1. Anti-virus iko updated
2. Firewall iko on
3. tumia anti-virus sahihi na usitumie free antivirus
4. Usitumie anti-virus zaidi ya moja..
5. Update drivers
6. Rekebisha muda(saa,time and calendar) katika computer iwe auto update..
7. Toa programs ambazo hutumii na ambazo hazina maana

8. Hakikisha unaweka windows update iwe automatic update
9. Nenda katika control panel>add or removal program, toa toolbar zote unazoziona
10. Mwisho nenda task manager, then nenda>startup, disable program zinazoanza unapowasha computer..! N:b disable zina unazozitambua pekeyake!

N:B ukishindwa kuelewa maelezo nitakayotoa nitafute kwa namba zifuatazo
0673521262
Au facebook; Maedson Mahonge

Mungu akubarika

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
 
pia jaribu kupiga blower itakua ni vumbi kama imeanza ku heat siku hz.....

nimeipeleka kwa fundi ilikua na vumbi ajabu yaani,saiv baada ya kusafishwa inafanya kazi vizuri tu na wala haiheat tena..thanx all kwa ushauri
 
Back
Top Bottom