Msaada:my computer is over heating | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada:my computer is over heating

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mndengereko, Aug 24, 2012.

 1. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  wana jf naombeni msaad wenu natumia computer ya sony vaio in hdd 321 duo processor na ram gb 4 kwa sasa hivi ina ob=verheat hata nikirun program ndogo tu inachemka sana yaani cpu usage na ram usage zote hazishuki chini ya 50% hata nisiporun application yeyote wakati mwanzo ilikuwa inacheza kwenye asilimia 9 mpk 15% na nilikuw nina uwezo wa kurun game la gb 13 lakini sasa hivi nashindwa kutokana na kuover heat naombeni msaada wenu nifanyeje
  hints:nimeshaclose background program zote
   
 2. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Angalie feni yake ... Tafuta mtu aifanyia preventive maintanance hususani kwenye feni itakuwa na vumbi ...Jihadhali na mafundi njaaa hawashindwi kukwambia power factor imekufa ati!
   
 3. leh

  leh JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45

  sawa kabisa, shida ni kwamba vent au matundu ya kutolea hewa zitakuwa zimeclog tokana na vumbia au clothe particles haswa kama unaitumia kitandani. tafuta technician aipige blower ya ukweli
  btw, fan inapiga kelele?
   
 4. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Nakubaliana na hao hapo juu,overheating mara nyingi inasababishwa na matundu ya kupitishia hewa kuziba au feni inakuwa haizunguki kama ipaswavyo.Kama unaweza fungua isafishe kama unaweza pata compressed air ni nzuri kwa laptop ukikosa tumia blower(ingawa mara nyingi ni kwa PC).Kama huwezi fanya mwenyewe ,changia kipato cha vijana jirani unakoishi au mahali popote.
   
 5. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  poa guys thanks so much i will do it nahisi ndio littakuwa tatizo lenyewe
   
 6. leh

  leh JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  na usiwe unaiweka juu ya kitanda au kiti cha sofa bila something ya kuwekelea as unakuta huko ndo fluffs za cotton na linen zinaingia na kuziba fan
   
 7. KML

  KML JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  waweza ni PM kama utashindwa nitakusaidia
   
 8. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  poa kaka i will do that
   
 9. Clajago

  Clajago Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mie na mawazo mawili na kama sio matatu au manne, 1. Kama issue ingekuwa fan mbuvu au inavumbi basi ingekuwa ina-stack mara kwa mara lakini sijakusikia ukilisema la ku-stck hivyo basi vumbi kwa upande wangu mie naona sio tatizo hata kidogo. 2.CPU usage na Memory usage kupanda hadi percent ulizosema sio issue endapo tuu vifuatavyo vipo sawa:- - Hard drive free space ni kiasi gani at least iwe robo free ya full capacity. - Temporary files zimetolowe mara ngapi vile una-play na game zenye GB za kuzagaa temps hazitakosekana kwa wingi ukiacha zile za applicatins kama Msword,Excel n.k. - Background unnecessary running,startup applications na services zimekuwa disabled. - Check na Kaspersky Anti virus kama unatumia imebakiza siku ngapi Ku-expire,kama hutumii haina shida na kama unatumia antivirus nyingine chech kwenye apllication scan kama ipo enabled na Disable. 3.Kisha baada ya kuyaweka vizuri hayo hapo juu puliza vumbi kwa afya ya baadae ya laptop yako.
   
Loading...