grand casual
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 255
- 161
Habar wakuu! Nina computer yangu dell vostro 1200 tokea Jana usiku ukiwasha inandika starting window. halafu inaanza tena na tena. wajuzi niombeni msaada jinsi ya kufix hill tatizo.
Kaflash
virus, kuna faili limeliwa linaitwa win32.
cha kufanya ifomat
Imwagie petroli then washa kwa kiberiti.hope itawaka
thanks mkuu! una-format vipi?
ndugu kama ku-format hujui mtafute mtu anaejuwa akufundishe maana kuna ka-process kidogo
Ni shida
Inaanza tena na tena una manisha nini yaani ina restart au