computer with 2 operating sysytem

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
wakuu computer yangu ili-krash nakaamua ku-install operating sysytem nyingine ndani ya hiyo computer
sasa kila computer inavyo start zinatokea windows mbili na inasema nichague ipi ya ku-start
nawezaje kuondoa ile ya zamani?
 
Mkuu inabidi uiformat kompyuta yako na uhakikishe unazifuta operating system zilizopo ndiyo utaweza ku-get rid ya hilo tatizo..
 
mkuu kwa jinsi nilivyofanya research sioni kama ni lazima kuformat
nafikiri kuna njia ya kuondoa operating sysytea ile ya zamani na kuacha mpya
nawaomba wataalam mje mtusaidie
 
Kuna jisni ya kwenda ku edit file linaitwa BOOT.ini .

Unaweza kusoma hapa How to edit the Boot.ini file in Windows XP

Kama utakuwa hujaelwa i nini cha kuondoa copy and paste conetent utakazo kuta kwenye hilo file la boot.ini ili uelekezwa nini cha kuondoa.
mfano halisi wa boot .ini ya XP uko katika format hii
PHP:
[boot loader]
timeout=30
default=multi(0)disk(0)rdisk(0)partition(1)\WINDOWS
[operating systems]
multi(0)disk(0)rdisk(0)partition(1)\WINDOWS="Windows XP Professional" /fastdetect
multi(0)disk(0)rdisk(0)partition(2)\WINNT="Windows 2000 Professional" /fastdetect

unaweza kusoma smore detail kuhusu boot.ini hapa NTLDR - Wikipedia, the free encyclopedia.

NB
usijaribu tu kubatisha kufuta bila kuelewa .OS inaweza kuwa unbootable
 
nashukuru sana mkuu
 
Instead of using code kuna alternative kuna program inaitwa easy BCD(neosmart) just google it utaipata....ina simplify the whole process ya ku-delete any entries za "boot-loader",It has a very simple user interface...my advice wakati una delete hizo entries rename them kwanza e.g windows xp 1 and windows xp 2 ,restart your computer..then test to see which one ita-boot without problems and then you can know which one you can safely delete. Hizo code ni very risky ukikosea kidogo tu kama hapo juu ulivyoambiwa utakuwa umeleta tatizo lingine.
 
Kuna jisni ya kwenda ku edit file linaitwa BOOT.ini .

Unaweza kusoma hapa How to edit the Boot.ini file in Windows XP

Kama utakuwa hujaelwa i nini cha kuondoa copy and paste conetent utakazo kuta kwenye hilo file la boot.ini ili uelekezwa nini cha kuondoa.
mfano halisi wa boot .ini ya XP uko katika format hii
PHP:
[boot loader]
timeout=30
default=multi(0)disk(0)rdisk(0)partition(1)\WINDOWS
[operating systems]
multi(0)disk(0)rdisk(0)partition(1)\WINDOWS="Windows XP Professional" /fastdetect
multi(0)disk(0)rdisk(0)partition(2)\WINNT="Windows 2000 Professional" /fastdetect

unaweza kusoma smore detail kuhusu boot.ini hapa NTLDR - Wikipedia, the free encyclopedia.

NB
usijaribu tu kubatisha kufuta bila kuelewa .OS inaweza kuwa unbootable

Mkuu jinsi ya kupata hiyo command unaweza kwenda run then andika hii command "msconfig" then nenda katika tab imeandikwa boot hapo ndipo unaweza kuedit hiyo kitu.

au

Ingia control panel lisha nenda folder option then view tab untick Hide operating system files halafu show hidden files halafu OK then nenda partition yako ya C iliyo na window angalio file imeandika boot.ini ifungue kwa notepad then edit hiyo kitu.

Kuhakiki OS yako iliyo current
default=multi(0)disk(0)rdisk(0)partition(1)\WINDOWS"
Angalia command yenye the same number of partition then delete then save changes.
multi(0)disk(0)rdisk(0)partition(2)\WINNT

Goodluck
 
Jamani wakuu Naomba tip Nataka Kuweka windows xp na windows 7 kwenye Machine Moja Inakuwaje? na nataka niwe na uwezo wa kuchagua kutumia xp au windows 7
 
@Davies_007 install windows xp kwanza the weka windows 7 Nadhani nivizuri unapoweka xp utengeze partion itakayo kusaidia kuingiza iyo windows 7...........simple
but ukianza windows 7 Utapata utata maaana xp huwa anashindwa kuditect windows 7 kama ishakua installed
 
don't mess with boot files like boot.ini except you know what you are doing..backup file first.
Tumia tools kama msconfig kufanya editing ya system files
 
Jamani wakuu Naomba tip Nataka Kuweka windows xp na windows 7 kwenye Machine Moja Inakuwaje? na nataka niwe na uwezo wa kuchagua kutumia xp au windows 7
Mkuu tengeneza partition mbili tofauti kama currently ushaweka os moja 2mia partition tool hii hapa kugawa partition nyingine

http://software-files-l.cnet.com/s/...6&pid=12055256&psid=10863346&fileName=epm.exe

Then baada ya hapo install os yako yoyote kati ya hizo mbili ambazo unahitaji katika new partition
 
Jamani wakuu Naomba tip Nataka Kuweka windows xp na windows 7 kwenye Machine Moja Inakuwaje? na nataka niwe na uwezo wa kuchagua kutumia xp au windows 7

Windows 7 yako ni ipi? Kama ni Proffesional au Ultimate hukuna haja ya kuwa na partitions mbili kama watu walivyosema hapo juu..unawea kutumia kitu kinaitwa Vitual PC 2007, search kwenye google au microsoft website.

WIndows 7 inakuruhusu kuinstall virtual PC with XP mode ambayo itafanya uchague kutumia windows 7 au XP wakati wowote.

Windows Virtual PC: Home Page

Usisahau kugoogle na kusoma hiyo technology kabla ya kujaribu kuimplement, ukikwama usisite kurudi
 
@Davies_007 + MashaJF yeah yanini kudownload partion software wakati tayari anazo OS cd chakufanya Anza Windows xp make partion then muweke mkongwe windows 7 thats enough no need of another software coz thing will be complicated:::::::::::::::::wakati computer simplifies works
 
Compyuta yake inaweza ikawa na os tayari so anataka kuadd os nyingine do you think itz a gud idea to format,delete and repartition the drive wakati inawezekana kuongeza os without disturbing the current os ndugu.
 
Windows 7 yako ni ipi? Kama ni Proffesional au Ultimate hukuna haja ya kuwa na partitions mbili kama watu walivyosema hapo juu..unawea kutumia kitu kinaitwa Vitual PC 2007, search kwenye google au microsoft website.

WIndows 7 inakuruhusu kuinstall virtual PC with XP mode ambayo itafanya uchague kutumia windows 7 au XP wakati wowote.

Windows Virtual PC: Home Page

Usisahau kugoogle na kusoma hiyo technology kabla ya kujaribu kuimplement, ukikwama usisite kurudi
Ndugu kama ulivyosema hapo mchizi atapata windows xp mode katika os yake ya windows 7 lakini hato pata full features of xp thats y anataka dual boot. Hii kitu kama ingekua inarun kama paradox parallel desktop ya mac hapo sawa.
 
why would one need XP and Win7 on same box? You can run all XP software on Win7 so the work itself is pointless. Unless there is something I miss here.
 
Ndugu zangu samahani kwa kuingiza suala jingine. Mie nimenunua iPad 2 na nimepata tatizo la kujisajili kupata Apple ID. Kuna namna ya kuitengeneza, maana kila nijaribu system inanijibu nisubiri iCloud.
 
Unaweza kutumia virtual Machine ingawaje Virtual Machine itakuwa slow but inasaidia.

Back
Top Bottom