Computer ume connect charge but not charging

Computer ume connect charge but not charging

Lucas255

Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
10
Reaction score
15
Naomba msaada laptop yangu ilikuwa inakaa na chaji fresh sasa juzi usiku nilikuwa naitumia nikaizima kuja iwasha asubuhi naweka charge kweny upande wa betri inachora x the inaandika charge connected but not charging hapo nini shida?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laptop aina gani natumai ni kati ya dell au HP. Jambo la kwanza battery ishadedi
Jambo la piri adpter volt 5 haipeleki.
 
Hizi brand za lenovo sijawahi kuzielewa kabisa sio reliable kabisa
Ahaa wapi mzee Lenovo ndo brand ngumu kukuta motherbody zinajifia hovyo
Mpk zinaitwa ROHO YA PAKA

battery kwenye PC kufa suddenly tu ni kawaida

sasa hizo lenovo mpk ukute battery imekufa dah ! Hiyo PC imepiga kazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom