Kama ni BIOS password na ni laptop kuchomoa battery au kureset jumpers kunaweza kusifanye kitu.
Ila itakubidi u set upya saa na tarehe maana nazo huwa zina ji reset pia...Fungua box, tafuta battery ni kama battery ya saa kubwa, ichomoe subiri takika 3 irudishie password itakuwa imefutika.
mkuu unahakika uliyotoa ni cmos battery? maana kwenye laptop watu wengi wanachanganya hii kitu maana si laptop zote(hasa hizi za sikuhizi) battery zake zinafanana...mara nyingi cmos battery za laptop zinakuwa katika miundo mbalimbali na kama hujui ni nini unatafuta unawza ishia kutoa kitu kingine...Mkuu,juzi tu nimeletewa Hp Nc6000 laptop ilikuwa na Bios password,hata baada ya kureset jumpers,kutoa CMOS battery bado ilikataa.Ina count memory na kuishia kwenye password na f10 set up tu.Nifanye nini mkuu?
kama ni laptop complication inkuja tu kwenye swala la kujua hiyo cmos battery ipo eneo gani maana zinatofautiana kulingana na aina/model ya laptop yenyewe...kuna ambazo ukifungua mifuniko michache tu nyuma ya laptop zinaonekana kirahisi ila zipo ambazo itakubidi ufungue laptop karibu yote manake unakuta ipo ndani kabisa kwenye motherboard....sasa kufungua laptop yote inataka moyo kidogo..ila kama vipi ndo hapo utafute sofware za ku recover...ila kutoa betri ni njia rahis sana ...kama ni laptop
kama ni laptop
Mkuu,juzi tu nimeletewa Hp Nc6000 laptop ilikuwa na Bios password,hata baada ya kureset jumpers,kutoa CMOS battery bado ilikataa.Ina count memory na kuishia kwenye password na f10 set up tu.Nifanye nini mkuu?
kama ni laptop complication inkuja tu kwenye swala la kujua hiyo cmos battery ipo eneo gani maana zinatofautiana kulingana na aina/model ya laptop yenyewe...kuna ambazo ukifungua mifuniko michache tu nyuma ya laptop zinaonekana kirahisi ila zipo ambazo itakubidi ufungue laptop karibu yote manake unakuta ipo ndani kabisa kwenye motherboard....sasa kufungua laptop yote inataka moyo kidogo..ila kama vipi ndo hapo utafute sofware za ku recover...ila kutoa betri ni njia rahis sana ...
Laptop nyingi hasa mpya zinatumia technolojia tofauti CMOS password haifutiki hata ukitoa CMOS battery walla kureset jumpers. Hii ni kwa sababu za security hata mtu akiiba laptop sio rahisi kuifungua.
Njia ya kuireset password ni kuwatafuta support wa laptop yako kisha itabidi utoe ushahidi kuwa wewe umenunua hiyo laptop, hii ni ngumu sana.
Edit:
Kuna program ambazo zinaweza kugenerate unlock key kwa baadhi ya laptops, kwa hiyo ni kama manufacturers wenyewe wanayotumia,
Dogbert's Blog: BIOS Password Backdoors in Laptops
Njia nyingine ni kuipiga shoti chip inayohifadhi password, kwa bahati mbaya hii procedure ni tofauti kwa kila laptop.
chukua hii.ni file ya .iso ingawa ipo kwenye zip..itabidi u unzip ndani yake utakuta hiyo iso file..i burn kwenye cd then boot from that cd...ukishaboot maelezo yake yapo wazi as long as unajua english..ina option ya kufuta password, kuwka blank password au kuchange password..thanks mkuu je unaweza ukawa na link yenye hizo software..
Mkuu Kang unaweza kunieleza namna ya hii njia (kuipiga shoti chip) Unapiga vipi hiyo shot chip?Laptop nyingi hasa mpya zinatumia technolojia tofauti CMOS password haifutiki hata ukitoa CMOS battery walla kureset jumpers. Hii ni kwa sababu za security hata mtu akiiba laptop sio rahisi kuifungua.
Njia ya kuireset password ni kuwatafuta support wa laptop yako kisha itabidi utoe ushahidi kuwa wewe umenunua hiyo laptop, hii ni ngumu sana.
Edit:
Kuna program ambazo zinaweza kugenerate unlock key kwa baadhi ya laptops, kwa hiyo ni kama manufacturers wenyewe wanayotumia,
Dogbert's Blog: BIOS Password Backdoors in Laptops
Njia nyingine ni kuipiga shoti chip inayohifadhi password, kwa bahati mbaya hii procedure ni tofauti kwa kila laptop.