Computer iliyo na password (System password) inaweza kuwa formated na kuingiza Operating S mpya?

kama ni laptop
kama ni laptop nakushauri upeleke kwa fundi...especially kama hujawai fungua case ya laptop sababu utahitaji kujua unachokitafuta (CMOS battery) ipo wapi ili usizingue devices zingne!
 
Wacha maneno weye sio kila pc unaweza kufanikisha hilo zoezi ,inategemea na manufacturers wa mother board.
CMOS battery ina-operate na ku-react kwa namna moja kwenye kila motherboard mkuu, it has the same function in all computer motherboards..and that is to keep memory of the time&date and system settings including system password (BIOS password), ndo maana ukitoa CMOS battery kwenye motherboard computer inasahau system settings zote ulizozifanya kama vile boot sequence, system password etc na kurudi default.
 
Wacha maneno weye sio kila pc unaweza kufanikisha hilo zoezi ,inategemea na manufacturers wa mother board.

elezea mkuu..maana nahisi maelezo ya kutosha hapo juu yameshatolewa na sijui wewe unataka kumaanisha nini?
 
naomba kujua hilo,kwani hapa kuna jamaa katufanyia ujinga,kafunga computer kwa njia hiyo na kasafiri,tunataka kuifuta na kuanza moja,inawezekana?

  • 1 Turn your computer on and insert the Windows XP Setup CD that came with your system.
  • 2 Choose "Boot From CD" in the setup window that pops up. Wait for the computer to take you to the "Licensing Agreement" page. Accept the agreement and wait for a screen to ask you if you want to repair your system.
  • 3 Press the "R" key to repair the system and allow the computer to start copying files over to the hard drive.
  • 4 Wait for the computer to reboot and then watch the bottom of the setup screen until "Installing Devices" appears. Press "Shift" and "F10" together and wait for a command prompt.
  • 5 Type "nusrmgr.cpl" into the command prompt. Press the "Enter" key on the keyboard to go to the "User Accounts" page.
  • 6 Click on the "Administrator" account to remove, reset or change the password.
 
naomba kujua hilo,kwani hapa kuna jamaa katufanyia ujinga,kafunga computer kwa njia hiyo na kasafiri,tunataka kuifuta na kuanza moja,inawezekana?

Hili ni swali zuri sana na ni la kuleta changamoto.

Mara zote password inawekwa kwenye HDD (hard disk drive) kutoka kiwandani au tu kwenye bios bootup kwenye battery.

Kufanyia HDD refomart ni ngumu sana kama HDD hiyo imefungwa na password. Hata kama unataka kuweka Operating System ingine inakuwa ngumu kwa sababu HDD hio imefungwa na aliemiliki kulingana na yalokuwa mahitaji yake kama vile matumizi ya mahesabu, au data muhimu sana.

Kampuni nyingi za computer kama HP na Dell wanaweza kukusaidia kuondoa password hio ikiwa tu utaweza kuwaambia na kuthibitisha umiliki wa chombo chako.

Ila unaweza kujaribu kununua au ku-download software ya kufuta password hio kama vile software iitwayo killdisk ambayo itafuta kila kitu kwenye HDD hio isipokuwa tu kama imefungwa tokea kiwandani.

Nikipata moja ya solutions ntaweza kusaidia lakini mpaka sasa naweza kusema kwamba hizi HDD zinakuwa zinajilinda zenyewe na password au kwa kupitia BIOS na hiyo kufanya kuwa ngumu kutumia CD au Floppy disk kufanya reformat.
 
Ukiona manyoya ujue kuku kaliwa tayari..................hapa sijui kama kuna mtu ajalizwa
 
Mkuu naomba nikuulize swali kama wewe una nyumba na ndani una vitu vya thamani sana na watu hupenda kuingia sana ndani kwako na kuchezea vitu vyako vya thamani sasa hapo ww utachofanya utafunga vitu vyako au utafunga mlango ili watu wasiingie kabisa jibu nadhani litakuwa utafunga mlango ili watu wasiingie kabisa,so password huwa zinawekwa kwenye os sio kwenye hdd ili watu wasiingie kabisa sasa ukitumia cd za xp unaweza ukatoa hizo password coz kuna pc za kisasa za sasa hivi password inawekwa kwenye cache memory hata ukuiondoa cmos batery inakuwa ni kazi bure au ukiondoa jumper nayo haisaidii kitu kabisa.
 
Mkuu naona kama kuna kitu unataka kukielezea lakini haukielezei watu wakielewe au pia haulewi wenzio wanataka kuelewa nini kutoka kwako, Kikubwa hapa jinsi ya kuondoa password kwenye BIOS kitu ambacho kinazidi kuwa kigumu kila siku hasa kwenye laptop mpya na sio hizo password za os ambazo mtu hata asipotaka kuumiza kichwa ataformat laptop na mambo yakaendelea, labda sasa utuambie PASSWORD YA BIOS KWA HIZI LAPTOP NA HASA NEWMODELS INAONDOKAJE??
 
Mbn nimeshaeleza hapo juu,unatumia cd ya xp kuondoa hizo password ambaazo zinakuwa kwenye acc ya administrator
 
Mkuu unatakiwa ujue kuna tofauti kati ya password ya windows na ya bios, hapa kinachozungumziwa jinsi gani tunaweza kuondoa password ya BIOS
 
mkuu ulishawahi jaribu hili la kutumia cd ya xp kutoa password ya bios au unasikia tu watu wanasema!!? Je unajua kuwa cd rom haiwez kuwafanya kazi bila bios kuwa loaded kwanza? unajua kuwa ili computer ifanye kazi ni lazima bios iwake kwanza (booting process) then ndo mambo mengine yote yafuate?? sasa hiyo cd utaitumiaje ikiwa bios haija load (password protected)? embu tuelezee vizuri mkuu...sio unakurupuka tu...!!
 
ni kweli kabisa mkuu..tatizo watu wengi wanapenda kuongelea maneno ya kusikia bila kujaribu kwanza...mtu akisha sikia neno password tu kwenye pc anajua ni password ya user login password...
 
mkuu ulishawahi jaribu hili la kutumia cd ya xp kutoa password ya bios au unasikia tu watu wanasema!!? Je unajua kuwa cd rom haiwez kuwafanya kazi bila bios kuwa loaded kwanza? unajua kuwa ili computer ifanye kazi ni lazima bios iwake kwanza (booting process) then ndo mambo mengine yote yafuate?? sasa hiyo cd utaitumiaje ikiwa bios haija load (password protected)? embu tuelezee vizuri mkuu...sio unakurupuka tu...!!
Mkuu mimi huwa sikurupuki kama unavyosema hivi vitu huwa navifanyia kazi sana ndio maana nikagundua aina za password zote hata zile za fingerprint au eye iris nimeshawahi kuzifanyia kazi na kufanikiwa kuzifungua,ila niligundua mashine moja ina BIOS password nilivyofanya uchunguzi nikagundua password zake zimehifadhiwa kwennye chip ya cache memory so jinsi ya kuiondoa hiyo password you must remove this chip and then you put another chip,ni very risk kwa sababu chip hii ipo kwenye mobo so ukikosea kuiondoa au kuirudisha umeua mobo so be careful
 
Hili ni swali zuri sana na ni la kuleta changamoto.

Mara zote password inawekwa kwenye HDD (hard disk drive) kutoka kiwandani au tu kwenye bios bootup kwenye battery.

Kufanyia HDD refomart ni ngumu sana kama HDD hiyo imefungwa na password. Hata kama unataka kuweka Operating System ingine inakuwa ngumu kwa sababu HDD hio imefungwa na aliemiliki kulingana na yalokuwa mahitaji yake kama vile matumizi ya mahesabu, au data muhimu sana.

Kampuni nyingi za computer kama HP na Dell wanaweza kukusaidia kuondoa password hio ikiwa tu utaweza kuwaambia na kuthibitisha umiliki wa chombo chako.

Ila unaweza kujaribu kununua au ku-download software ya kufuta password hio kama vile software iitwayo killdisk ambayo itafuta kila kitu kwenye HDD hio isipokuwa tu kama imefungwa tokea kiwandani.

Nikipata moja ya solutions ntaweza kusaidia lakini mpaka sasa naweza kusema kwamba hizi HDD zinakuwa zinajilinda zenyewe na password au kwa kupitia BIOS na hiyo kufanya kuwa ngumu kutumia CD au Floppy disk kufanya reformat.
Kwenye wino mwekundu...unahitaji authentication software ili uweze hata kuiwekea password hardware device yako, hizi HDD za kwenye pc zinakuja empty...unailindaje HDD kwa password? na kwenye huo huo mstari hapo mbele, unaonekana hujui unachokiongea
Na kwenye wino wa blue...ninavyojua unaweza ku-encrypt tu info ndani ya hard disk lakini sio kuzuia access ya content ya hard disk, hivyo m2 yeyote akipata access ya hiyo hard disk anaweza kuiformat..b'se it is just a memory
Na kwenye wino wa kijani ..BIOS password inalinda hardware devices zote za pc sio HDD peke yake, ukiichomoa HDD kutoka kwenye BIOS password protected pc, ukaifunga kwenye pc nyingne mtu anaweza ku-excute any action to the content of that HDD
Ebu jipange upya mkuu...halafu unisaidie na hizo case zangu hapo!
 
chukua hii.ni file ya .iso ingawa ipo kwenye zip..itabidi u unzip ndani yake utakuta hiyo iso file..i burn kwenye cd then boot from that cd...ukishaboot maelezo yake yapo wazi as long as unajua english..ina option ya kufuta password, kuwka blank password au kuchange password..

DOWNLOAD HERE.

kama utaona hii inakuzingua download hii inaitwa ULTIMATE BOOT CD (UBC) ni nzuri na inavitu vingi ingawa mi sijawahi kuitumia kwa kurecover password ya bios ila ina hiyo option ndani yake..unaweza kudownload from their download page...ni free program Ultimate Boot CD - Download the UBCD

)TLPO,
àq
thanks mkuu ngoja niifanyie kazi..
 
Back
Top Bottom