Computer iliyo na password (System password) inaweza kuwa formated na kuingiza Operating S mpya?

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,367
naomba kujua hilo,kwani hapa kuna jamaa katufanyia ujinga,kafunga computer kwa njia hiyo na kasafiri,tunataka kuifuta na kuanza moja,inawezekana?
 
Bushbaby

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,590
434
Wala hakuna haja ya kuformat mkuu...chomoa Jumper ya CMOS kutoka PIN 1 na 2 na chomeka PIN 2 na 3 irudishie 1 n'2 washa computer itawaka bila kupromt password...ikakataa chomoa CMOS battery iache nje kwa 45 Min irudishie computer itakuwa imesahau kila kitu.....
 
Biohazard

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
2,186
1,403
Ishu siyo desktop wala nn kuna password reset softwares kibao kama unahitaji weka baya nikutumie link.
 
Lonestriker

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
640
240
Kama ni BIOS password na ni laptop kuchomoa battery au kureset jumpers kunaweza kusifanye kitu.

Mkuu,juzi tu nimeletewa Hp Nc6000 laptop ilikuwa na Bios password,hata baada ya kureset jumpers,kutoa CMOS battery bado ilikataa.Ina count memory na kuishia kwenye password na f10 set up tu.Nifanye nini mkuu?
 
sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,552
1,276
Kama ni desktop very easy...fuata ushauri huu mkuu...
Fungua box, tafuta battery ni kama battery ya saa kubwa, ichomoe subiri takika 3 irudishie password itakuwa imefutika.
Ila itakubidi u set upya saa na tarehe maana nazo huwa zina ji reset pia...
 
sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,552
1,276
Mkuu,juzi tu nimeletewa Hp Nc6000 laptop ilikuwa na Bios password,hata baada ya kureset jumpers,kutoa CMOS battery bado ilikataa.Ina count memory na kuishia kwenye password na f10 set up tu.Nifanye nini mkuu?
mkuu unahakika uliyotoa ni cmos battery? maana kwenye laptop watu wengi wanachanganya hii kitu maana si laptop zote(hasa hizi za sikuhizi) battery zake zinafanana...mara nyingi cmos battery za laptop zinakuwa katika miundo mbalimbali na kama hujui ni nini unatafuta unawza ishia kutoa kitu kingine...

Compaq CMOS battery changing - YouTube
Hp Nc6000 laptop cmos battery - Google Search
 
sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,552
1,276
kama ni laptop
kama ni laptop complication inkuja tu kwenye swala la kujua hiyo cmos battery ipo eneo gani maana zinatofautiana kulingana na aina/model ya laptop yenyewe...kuna ambazo ukifungua mifuniko michache tu nyuma ya laptop zinaonekana kirahisi ila zipo ambazo itakubidi ufungue laptop karibu yote manake unakuta ipo ndani kabisa kwenye motherboard....sasa kufungua laptop yote inataka moyo kidogo..ila kama vipi ndo hapo utafute sofware za ku recover...ila kutoa betri ni njia rahis sana ...
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,287
1,832
kama ni laptop

Laptop nyingi hasa mpya zinatumia technolojia tofauti CMOS password haifutiki hata ukitoa CMOS battery walla kureset jumpers. Hii ni kwa sababu za security hata mtu akiiba laptop sio rahisi kuifungua.

Njia ya kuireset password ni kuwatafuta support wa laptop yako kisha itabidi utoe ushahidi kuwa wewe umenunua hiyo laptop, hii ni ngumu sana.

Edit:
Kuna program ambazo zinaweza kugenerate unlock key kwa baadhi ya laptops, kwa hiyo ni kama manufacturers wenyewe wanayotumia,
http://dogber1.blogspot.com/2009/05/table-of-reverse-engineered-bios.html

Njia nyingine ni kuipiga shoti chip inayohifadhi password, kwa bahati mbaya hii procedure ni tofauti kwa kila laptop.
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,287
1,832
Mkuu,juzi tu nimeletewa Hp Nc6000 laptop ilikuwa na Bios password,hata baada ya kureset jumpers,kutoa CMOS battery bado ilikataa.Ina count memory na kuishia kwenye password na f10 set up tu.Nifanye nini mkuu?

Hiyo itafunguka kwa kuchomoa kwa vile ya zamani kidogo, Fungua screw za keyboard chini ya laptop, chomoa keyboard utaona waya wa CMOS battery unaingia kwenye motherboard, chomoa subiri 24 hrs.
Checki huyu jamaa reset bios password hp compaq nc6000 - YouTube
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,770
6,521
kama ni laptop complication inkuja tu kwenye swala la kujua hiyo cmos battery ipo eneo gani maana zinatofautiana kulingana na aina/model ya laptop yenyewe...kuna ambazo ukifungua mifuniko michache tu nyuma ya laptop zinaonekana kirahisi ila zipo ambazo itakubidi ufungue laptop karibu yote manake unakuta ipo ndani kabisa kwenye motherboard....sasa kufungua laptop yote inataka moyo kidogo..ila kama vipi ndo hapo utafute sofware za ku recover...ila kutoa betri ni njia rahis sana ...

thanks mkuu je unaweza ukawa na link yenye hizo software..
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,770
6,521
Laptop nyingi hasa mpya zinatumia technolojia tofauti CMOS password haifutiki hata ukitoa CMOS battery walla kureset jumpers. Hii ni kwa sababu za security hata mtu akiiba laptop sio rahisi kuifungua.

Njia ya kuireset password ni kuwatafuta support wa laptop yako kisha itabidi utoe ushahidi kuwa wewe umenunua hiyo laptop, hii ni ngumu sana.

Edit:
Kuna program ambazo zinaweza kugenerate unlock key kwa baadhi ya laptops, kwa hiyo ni kama manufacturers wenyewe wanayotumia,
Dogbert's Blog: BIOS Password Backdoors in Laptops
Njia nyingine ni kuipiga shoti chip inayohifadhi password, kwa bahati mbaya hii procedure ni tofauti kwa kila laptop.

thanks mkuu ngoja niifanyie kazi..
 
sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,552
1,276
thanks mkuu je unaweza ukawa na link yenye hizo software..
chukua hii.ni file ya .iso ingawa ipo kwenye zip..itabidi u unzip ndani yake utakuta hiyo iso file..i burn kwenye cd then boot from that cd...ukishaboot maelezo yake yapo wazi as long as unajua english..ina option ya kufuta password, kuwka blank password au kuchange password..

DOWNLOAD HERE.

kama utaona hii inakuzingua download hii inaitwa ULTIMATE BOOT CD (UBC) ni nzuri na inavitu vingi ingawa mi sijawahi kuitumia kwa kurecover password ya bios ila ina hiyo option ndani yake..unaweza kudownload from their download page...ni free program Ultimate Boot CD - Download the UBCD
 
Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,858
30,257
Laptop nyingi hasa mpya zinatumia technolojia tofauti CMOS password haifutiki hata ukitoa CMOS battery walla kureset jumpers. Hii ni kwa sababu za security hata mtu akiiba laptop sio rahisi kuifungua.

Njia ya kuireset password ni kuwatafuta support wa laptop yako kisha itabidi utoe ushahidi kuwa wewe umenunua hiyo laptop, hii ni ngumu sana.

Edit:
Kuna program ambazo zinaweza kugenerate unlock key kwa baadhi ya laptops, kwa hiyo ni kama manufacturers wenyewe wanayotumia,
Dogbert's Blog: BIOS Password Backdoors in Laptops
Njia nyingine ni kuipiga shoti chip inayohifadhi password, kwa bahati mbaya hii procedure ni tofauti kwa kila laptop.
Mkuu Kang unaweza kunieleza namna ya hii njia (kuipiga shoti chip) Unapiga vipi hiyo shot chip?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom