Sina watoto mkuu...na swala urusi kunyamaza sio kweli wao tu hawana uthibitisho kuwa dunia ina umbo lipi inawezekana kabisa wanafaam ila wametulia tuli sasa uyu NASA wa juzi ndo aje kurisha mtu matango pori,kuhusu ukubwa wa jua pia ni uongo uliokithiri ni vipimo gani waliweza kulipima jua mpka kufaham lina ukubwa zaidi ya dunia,kama mwezini tu walotudanganya na hawakufika,kwenda kwenye jua waliweza vipi kufikisha japo kifaa huko kuna vitu kama mtu timamu ni ngumu kuamini,na uaminifu unakujaje ni pale hizi mapo tunakuta tu zimewekwa kwenye majarida na vitabu hutukuwahi shuhudia au kuoneshwa wanapima vipi hilo jua na kama tukioneshwa baasi ni muonekano danganyifu wa CGI....(KUNA KITU SIO BURE)