Ndugu kila mtu akiamua kuweka namba za simu si itakuwa balaa ? Jibu swali kwa njia ya maandishi kama yeye alivyouliza kama namba za simu mwandikie pembeni huo ndio ustaarabu -- hapa tunajenga jukwaa na wanachama wake pamoja na watu wanaopenda kujifunza kwahiyo tuwe wazi tusichoke kusaidiana kwa njia ya maandishi -- ndugu maandishi hayapotei siku zote mtu anaweza kufanya ref je hayo maneno katika simu nani atafanya ref??
Jifunze kuwajibika na kufundisha jamii yako
call me at +255 762 923711 nitakusaidia
Naomba msaada. Computer yangu ina freeze saa zingine niki iwasha au hata nikiwa katikati ya kazi. Wataalam naomba msaada niweze kutatua tatizo hilo. Natanguliza shukrani.
Kuna uwezekano hajatembelea hii thread toka aiweke?