Computer Antivirus

Computer Antivirus

There is no free lunch in town....
Tafuta escan au Kaspersky.

Hizo avast free tulikuwa tunatumia tulipokuwa watoto[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Natumia avast 13 years now.

Antivirus ya kwanza ni wewe na awareness yako.
 
Natumia avast 13 years now.

Antivirus ya kwanza ni wewe na awareness yako.
Kuna vitu siwez kutumia kwa sasa Bora nikose antvirus, avast nilishatumia for 2 yrs lakin sion Kama effective. Back then nilikuwa naikubal sana

Currently speaking computer yang haina antvirus na sio mtumiaji sana wa windows so hainiaffect kitu.
 
binafs natumia usb disk security pamoja na smadav free version + awareness yangu mwenyewe ya kujua malware
 
Huenda mliyoyasema ni kweli, ila kwa uzoefu wangu antvirus ni useless, situmii antivirus sasa ni miaka 4 na nipo free. Kuhusu Advance System care ku edit regitry ni kweli kwani malware nyingi zina edit reg yako hivyo kufanya antvirus is wa detetct so ni muhimu kuwa na soft ya aina hiyo irestore reg yako to normal. Km ni mtu wa kuingia kwenye web za ajabu zikiwamo za ngono/ free games na mfano wa hizo basi ni vizuri ukawa nayo paid antvirus na sio hizi za cracked, km sio mtembezi wa hizo site no need 4 that. Elimu ni bahari tuendelee kuelimishana
 
Windows 10 ndo mpango wa mjini, mi anti-virus niliziacha toka enzi za W7 (nlikuwa natumia 360 very simple and ilikuwa inakula malware za USB pamoja na Crack files)

Alaf msikariri OS kuwa ni windows tu.
 
Back
Top Bottom