Mbna ni mie huyu kabisaa.Hawa hawatabiriki, mara nyingi hujiangalia wao, kwenye situations mbalimbali si rahisi kujua anachokifikiria Hadi aseme au afanye, kuwa tofauti na wengine kimawazo siyo dhambi kwake, Hawa wapenzi wao huvumilia mengi sana na kufanya kazi ngumu au ndefu siyo shida kwao ilimradi iishe (mzigo mzito mpe mnyamwezi), kuwa busy kwao siyo ishu na ukitaka kazi yako iishe mpe mtu wa aina hii ila kama ukimpa kazi usijali kuhusu muda maana anaweza asiimalizae Kwa muda unaotaka for different reasons but mind you lazima iishe tena vizuri...Kuna tofauti ndogo au mstari mwembamba unaotofautisha kati ya complicated person na mtu/watu wajuaji, wabinafsi, wachoyo, wasiojiamini, wenye ego and the likes!.
Ni mie huyu kabisaaa.Complex Person ni yule mtu ambae unazani unamjua kwa undani kumbe haujui kitu chochote kuhusu yeye na mwisho wa siku utabaki unashangaa tu na usimuelewe ... Ni watu ambao hawatabiriki na mara nyingi wanakuwa wasiri mno
Kila anachokifanya complex person kinaleta majibu ya kushangaza either in positive or negative ways
Complex people are curious, intelligent, and imaginative people who generally think outside of the box.
Yaani akifika baa akaagiza bia ya moto muhudumu akakosea akaleta ya baridi halafu akafungu..... huo mziki wake utadhani katukaniwa mama yake
Kosea umkanyage kwenye daladala sasa, au umchomekee yupo na ka virtz kake [emoji23]
Kaoe kwake sasa utalipa hadi kikoi cha marehemu babu wa mjomba wake bila hivyo hakuna ndoa
Ila yeye sasa akikosea atakavyo kuwa mkali kuhalalisha kwanini kakosea [emoji23][emoji23]
Yaani huwa wanataka vitu viende kwa mujibu wa mtazamo wao tu..... kinyume cha hapo changamoto sana hawana subira, wabinafsi, wajuaji, wana ego sana ila wanakuaga na akili mingi sana
Ni mfano tu
Complex Person ni yule mtu ambae unazani unamjua kwa undani kumbe haujui kitu chochote kuhusu yeye na mwisho wa siku utabaki unashangaa tu na usimuelewe ... Ni watu ambao hawatabiriki na mara nyingi wanakuwa wasiri mno
Kila anachokifanya complex person kinaleta majibu ya kushangaza either in positive or negative ways
Complex people are curious, intelligent, and imaginative people who generally think outside of the box.
Hizi ndio tabia zangu sasa, nakupa majibu usiotarajia.Aisee noma sana. Naona navogombana na watu wanaofanya kazi kwa msahafu [emoji1]
kuna jamaa humu huwa wanamuita popoma.. au ndo hao hao?Hawa huwa tunawaita mapopoma
Kwa kuongezea huwa hawashauriki ni mara chache sana kupokea au kuufanyia kazi ushauri wa mtu mwingine.Hawa hawatabiriki, mara nyingi hujiangalia wao, kwenye situations mbalimbali si rahisi kujua anachokifikiria Hadi aseme au afanye, kuwa tofauti na wengine kimawazo siyo dhambi kwake, Hawa wapenzi wao huvumilia mengi sana na kufanya kazi ngumu au ndefu siyo shida kwao ilimradi iishe (mzigo mzito mpe mnyamwezi), kuwa busy kwao siyo ishu na ukitaka kazi yako iishe mpe mtu wa aina hii ila kama ukimpa kazi usijali kuhusu muda maana anaweza asiimalizae Kwa muda unaotaka for different reasons but mind you lazima iishe tena vizuri...Kuna tofauti ndogo au mstari mwembamba unaotofautisha kati ya complicated person na mtu/watu wajuaji, wabinafsi, wachoyo, wasiojiamini, wenye ego and the likes!.
TOP G [emoji3]Ninachokiona hapa ni kwamba watu wote wailocomment wanapenda kurelate, au kuhusishwa na kitu fulani. Inshort huu uzi umejaa wabinafsi, self absorbed na self centered people. Constantly searching for admiration and validation.
Kila mtu anajiongelea yeye.
Uzi umejaa Narcissists.
Hawa hawatabiriki, mara nyingi hujiangalia wao, kwenye situations mbalimbali si rahisi kujua anachokifikiria Hadi aseme au afanye, kuwa tofauti na wengine kimawazo siyo dhambi kwake, Hawa wapenzi wao huvumilia mengi sana na kufanya kazi ngumu au ndefu siyo shida kwao ilimradi iishe (mzigo mzito mpe mnyamwezi), kuwa busy kwao siyo ishu na ukitaka kazi yako iishe mpe mtu wa aina hii ila kama ukimpa kazi usijali kuhusu muda maana anaweza asiimalize Kwa muda unaotaka for different reasons but mind you lazima iishe tena vizuri...Kuna tofauti ndogo au mstari mwembamba unaotofautisha kati ya complicated person na mtu/watu wajuaji, wabinafsi, wachoyo, wasiojiamini, wenye ego and the likes!.
[emoji16][emoji16][emoji16]Yaani akifika baa akaagiza bia ya moto muhudumu akakosea akaleta ya baridi halafu akafungu..... huo mziki wake utadhani katukaniwa mama yake
Kosea umkanyage kwenye daladala sasa, au umchomekee yupo na ka virtz kake [emoji23]
Kaoe kwake sasa utalipa hadi kikoi cha marehemu babu wa mjomba wake bila hivyo hakuna ndoa
Ila yeye sasa akikosea atakavyo kuwa mkali kuhalalisha kwanini kakosea [emoji23][emoji23]
Yaani huwa wanataka vitu viende kwa mujibu wa mtazamo wao tu..... kinyume cha hapo changamoto sana hawana subira, wabinafsi, wajuaji, wana ego sana ila wanakuaga na akili mingi sana
Ni mfano tu
Hawana akili ni ego driven people.Yaani akifika baa akaagiza bia ya moto muhudumu akakosea akaleta ya baridi halafu akafungu..... huo mziki wake utadhani katukaniwa mama yake
Kosea umkanyage kwenye daladala sasa, au umchomekee yupo na ka virtz kake [emoji23]
Kaoe kwake sasa utalipa hadi kikoi cha marehemu babu wa mjomba wake bila hivyo hakuna ndoa
Ila yeye sasa akikosea atakavyo kuwa mkali kuhalalisha kwanini kakosea [emoji23][emoji23]
Yaani huwa wanataka vitu viende kwa mujibu wa mtazamo wao tu..... kinyume cha hapo changamoto sana hawana subira, wabinafsi, wajuaji, wana ego sana ila wanakuaga na akili mingi sana
Ni mfano tu
Ninachokiona hapa ni kwamba watu wote wailocomment wanapenda kurelate, au kuhusishwa na kitu fulani. Inshort huu uzi umejaa wabinafsi, self absorbed na self centered people. Constantly searching for admiration and validation.
Kila mtu anajiongelea yeye.
Uzi umejaa Narcissists.