Graduate wa Mzumbe, IFM, UDSM, akikaa miaka miwili ujue dau linapanda mpaka zaidi ya milion moja, halafu waajili wote macho yao kwa hawa graduate (Ila ni kwa wale haswa wenye GPA nzuri), kwa hiyo MUCCOBS inawezekana wakapendelewa kutokana na kutulia kazini ndiyo maana hata bank zingine zinapenda graduate wa SUA kwa sababu huwa wao wamesoma shule isiyokuwa na soko i.e agri...., kwa hiyo mtu kama huyo ukimuajili hana pa kwenda, ataenda wapi??? na hilo li agri,...., lakini wa UDSM, Mzumbe, IFM, e bwana wanatafutwa kinoma na wanabadilisha kazi kila baada ya muda fulani kutafuta masilahi zaidi. Kwa ufupi graduate wa SUA maisha magumu so hawawezi kuhama, hama, na employee nakubali kuingia gharama kuwatrain, lakini faidi ni ile uwepo kazini muda mrefu.