Competence of muccobs graduate! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Competence of muccobs graduate!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Blessingme, Apr 11, 2011.

 1. Blessingme

  Blessingme JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hello jf members! Ni matumaini yangu mko safi kabisa na mchakato wa katiba. Maana hili ni jambo zuri na la maendeleo kwa watanzania 2liokuwa 2naonewa sana kwa miaka mingi. Napenda kutoa rai kwamba 2silale hadi kieleweke, naona maji yamewazidi kimo: kwa leo ningependa kuwahamisha kidogo maana jana kuna m2 aliweka post yake kwamba kwanin akiba commercial bank wanawapenda sana muccobs graduate? 1) tanzania vyuo vilivyotangulia kuanzishwa ni udsm na mwaka 1984 sua, so naamini kwa wakati huo hadi sasa ubora wa vyuo hv uko juu achana na vyuo vya kisiasa. Thats y 2navikubari na 2taendelea kuvikubali 2) muccobs ni branch ya Sua na kwa hiyo every thing come from Sua, so in this case ukichanganya kwamba chuo hichi kilikuwa cooperative college tangu miaka ya 1960 so they know what organiztn needs , when they need, how to produce , etc, so in dis case help them 2 produce acceptable people. Hata ukiwachunguza hawa wa2 ni wachache na wana uwezo kama watu waliotoka sua. Nawakilisha
   
 2. U

  Uswe JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Blessingme, Umesoma au unasoma MUCCOBS?
   
 3. Blessingme

  Blessingme JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ni graduate wa muccobs
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Apr 11, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,588
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  So what?? what is muccobs anyway? mi sikifahamu kabisa iki chuo

  kizuri chajiuza...kibaya..
   
 5. U

  Uswe JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hapo nimeelewa
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Inaonyesha kuna kitu ulitaka ukiseme
   
 7. U

  Uswe JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  usifanye hivo waberoya, we ni prem member bwana, huyo dogo ndo kwanza post yake ya 6 afu we unakua hash namna hii?
   
 8. n

  nasri Member

  #8
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  what next, Akiba wanataka cheap labour na wanaogopa wanafunzi wa udsm na mzumbe waliosoma accountsa coz wanasema hawadumu kazini, ni watu wa mishe mishe sana
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Mijitu mingine bwana, kwa hiyo kama hukijui then whatt? Huo ndo u-Mr. Perfect. Mimi sisomi Ushirika, lakini trust me, ni moja ya vyuo bora hapa Tanganyika, alongside UD, SUA, MUHAS, Mzumbe, DIT n.k. Nyie ndo mnaopata shahada famba za Magharibi kwenye vyuo mshenzi. Behave yourself siku zingine..
   
 10. C

  Chamkoroma Senior Member

  #10
  Apr 11, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Japo mm sinakizuri chakusemea katika hili lkn mm ni mmoja wa wanafunzi wa chuo kilipokuwa kikiitwa Cop College, kweli nikizuri sn, kinafundisha vizuri na mazingira ni mazuri sn, baada ya hapo nikaja TIA kuchukua ADA lkn sababu ya Akiba Commercila bank kuipenda MUCCOBS siwezi sema sn, laabda mtoa mada aweza isemea, lkn kwa wale wanaotaka kusoma chuo hiki ni kizuri sn.
   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #11
  Apr 11, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,588
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Ok kumbe ni chuo cha ushirika,

  then so what?

  kila mmoja aje na chuo chake na kusema jinsi walivyo competent! sijaona mantiki ya yeye kuanzisha thread. nisaidie ili ni-behave kama unavyotaka. mimi sijasoma chuo chochote nchini wala ulaya, your conclusion was wrong!!!

  Ukisoma maelezo yake unaona kuna kitu anataka kusema ila hasemi.......this is forums bwana, kama ana kitu ana speak out, kama ulivyosema siku nyingine ni behave ni sahihi ndiyo uhuru wala hujaficha kitu kabisa. Ni sawa na mimi ninavyosema siku nyingine elewa hoja na lengo la mtoa hoja labda unaweza kumsaidia!
   
 12. Blessingme

  Blessingme JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  unajua historia za vyuo au umekariri majina tu, tafuta tu na uliza watu wakueleweshe vizur, scale ya mshahara haipangwi kwa majina ya vyuo bali elimu so kwa akilizako mtu wa udsm na wa udom o muccobs wanamshahara tofauti
   
 13. U

  Uswe JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kuwa na heshima kwa wakubwa zako wewe!
   
 14. G

  Godwine JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Cha msingi vyuo wanafunzi wa vyuo hivi wawe tayari kushirikiana wanapokuwa makazini ili waweze kubadilishana ujuzi na kuleta tija kwa taifa letu na si kudhani sifa binafsi ndio lengo la vyuo hivi kwa taifa . nadhani kila chuo kina maeneo kinachokuwa bora basi wanachuo wake watumie nafasi hii kushare na wengine ili kuleta tija kwa taifa letu na kujenga uwajibikaji wa pamoja makazini na si kujiona wewe bora na kudhani unaweza kufanya kazi peke yako bila ya Umoja
   
 15. Freestyler

  Freestyler Senior Member

  #15
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Umesema umemaliza MUCCoBS ee?
   
 16. Blessingme

  Blessingme JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  oko powah,
   
 17. Blessingme

  Blessingme JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  jibu rahisi tu it is da matter of writting! Kwa nim pencil inatengenezwa na ufuto, kuna wakati utakosea utafuta, kweny account kuna topic inahusu correction of errors. Mkuu naona we ni mwalimu kama c mwalimu wewe
   
 18. k

  kalechee Member

  #18
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtaishia kuajiriwa na AKIBA tu,tena moshi branch
   
 19. U

  Uswe JF-Expert Member

  #19
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  haya bwana!
   
 20. k

  kalechee Member

  #20
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  peleka this crap kwenye jukwaa la elimu,yani nimegundua vibenki vingine havipigi hatua coz wana upendeleo wa kijinga,wanafunzi wa muccobs wataendelea kujaza ujinga wao AKIBA,na haka ka benki kataendelea kubaki nyuma 2.
   
Loading...