Blessingme
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 250
- 52
Hello jf members! Ni matumaini yangu mko safi kabisa na mchakato wa katiba. Maana hili ni jambo zuri na la maendeleo kwa watanzania 2liokuwa 2naonewa sana kwa miaka mingi. Napenda kutoa rai kwamba 2silale hadi kieleweke, naona maji yamewazidi kimo: kwa leo ningependa kuwahamisha kidogo maana jana kuna m2 aliweka post yake kwamba kwanin akiba commercial bank wanawapenda sana muccobs graduate? 1) tanzania vyuo vilivyotangulia kuanzishwa ni udsm na mwaka 1984 sua, so naamini kwa wakati huo hadi sasa ubora wa vyuo hv uko juu achana na vyuo vya kisiasa. Thats y 2navikubari na 2taendelea kuvikubali 2) muccobs ni branch ya Sua na kwa hiyo every thing come from Sua, so in this case ukichanganya kwamba chuo hichi kilikuwa cooperative college tangu miaka ya 1960 so they know what organiztn needs , when they need, how to produce , etc, so in dis case help them 2 produce acceptable people. Hata ukiwachunguza hawa wa2 ni wachache na wana uwezo kama watu waliotoka sua. Nawakilisha