Compare and contrast

mzaziaged

Senior Member
Oct 16, 2013
198
195
Habari wakuu, langu moja tuu kwa leo, mimi ni mfatiliaji mzuri sana wa post za mtoto wa mkuu wa dunia natasha wa obama huku kwenye mitandao ya kijamii, kumsingi haka katoto ka kike kako vizur kwenye hoja, logic na vinginevyo katika kupost hadi nashangaa, turudi upande wa pili kwa mkuu wa nchi wetu hapa bongo yaani huyu mtoto wake wa kiume mkubwa mwenye utajiri sana, yaani kama wewe ni mfatiliaji mzuri wa post zake utaniunga mkono jinsi anavyotoa pumba kwenye post, mara ushabiki wa mpira, kuupiga vita upinzani, sio kweli kuwa pamoja na ka elimu kake aliko kapata pale mabibo hostel kuwa hajui maana ya upinzani anaboa sana sio siri
 

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,206
2,000
!
!
!
unajiumiza bure ndugu yangu,

yaani ulidhani mkw€re anaweza kupost kitu cha maana kabisa?........utangoja sana basi
 

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
9,836
2,000
Inabidi Serikali imtangaze Kikwete na Familia yake kama janga la Kitaifa..
 

Laleyo

Senior Member
Dec 10, 2012
117
225
kuwa mkuu wa nchi haimaanishi watoto wakoo watakuwa na uwezo wa kujenga hoja katika mitandao ya jamii
 

Daddo

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,409
2,000
Hilo umelimaliza ila bado nina swali kwako binafsi vip wewe mwenyewe ukijilinganisha na post za huyo dada kwenye mitandao ya kijamii zako zina logic kumzidi au zake zinakuzidi? Nayeye anapost kujadili watu kama wewe unavofanya? Ninawasiwasi kwamba hauna tofauti na RJK.
 

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
975
250
i guess kabla ya post za natasha hazijaruka hewani zinafanyiwa editing ya nguu ila za huyu wa kwe2 ni majnga 2pu.
 

mzaziaged

Senior Member
Oct 16, 2013
198
195
Hilo umelimaliza ila bado nina swali kwako binafsi vip wewe mwenyewe ukijilinganisha na post za huyo dada kwenye mitandao ya kijamii zako zina logic kumzidi au zake zinakuzidi? Nayeye anapost kujadili watu kama wewe unavofanya? Ninawasiwasi kwamba hauna tofauti na RJK.

Fatilia post zangu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom