Comoro: Shein awekwa Baka Bencha

selemonio president huyo, zanjibare ni mkowa wa Twanganyika tu
 
China wanamtambua vizuri tu
 
Naona mmekumbuka lugha zenu sio??? Saaffi
 
hata sijaelewa kwa nini huu uzi page zinakimbia haraka,
naomba kuuliza tu
kwani wale aliokaa nao pale sio maraisi wa nchi?
 
Mgeni kutoka Tanzania anacheo gani? ... Ni waziri asiye na wazira maalum, lakn ni rais wa Zanzibar! Zanzibar ndiyo nini, ni koloni la Tanzania... Ok Weka kule nyuma!
Haahaaaaaaaa mkuu utatuvunja mbavu hahaaaaaaaaa.
 
hapo juu panamsaidia kuona vizuri pia ingawa namuona hayuko happy kabisa...ukiangali wa mbele yake ni warefu zaidi
Anatafakari sijui kwenye msosi itakuwa hivihivi! Lakini pale yupo juu anaona zaidi ya waliombele yake.Mpambe ndio hana raha
 
lofa wewe hapo na ushukuru ulisoma wakati Ndalichako hajawa waziri kwani ungeshatimuliwa kwa kukosa sifa
 
kwani wakomoro hawajui kuwa kapora ushindi wa maalim seif
 
Kamata benchi, eeh kamatatia benchi , kamata chuma eeh kamatia chuma....kama , kama , kama x2 ( kwahisani ya Navy kenzo)
 
Bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…