Wewe ulivyomjibu umepata buku saba Za sukari au? Acha upunguani!Siajabu hii porojo utaisikia kwa wabunge wa ukawa maana wao na hawa wajinga wenzao mitandaoni lao moja. Kweli ukawa imekwisha kihoja. Sasa huyu mleta uzi kaisha ingiza siku hapa leo dagaa za watoto zimepatikana
Nyumbu ni janga kwa taifa,Teteh,ndo atajuwa maalim seif Ni nani,kudadeki,lumumba mko wap?manake watakuambia Ni editing
Kweli mie punguwani na tulikuwa tunatumia dawa pamoja na Bi mkubwa wako wakati akiwa na ujauzito wako huenda ndio maana wewe umekuwa kichaa kabisa.Wewe ulivyomjibu umepata buku saba Za sukari au? Acha upunguani!
Mbona hueleweki komredi. Hivi unafikiri itikadi hurithiwa? Hata kwenye familia huwa kuna magugu. Nasoro Moyo yupo wapi? Kauli ya mtu yaweza mtambulisha mtazamo wake wa kisiasa. Pia Amani Karume kwa sasa haaminiki kwa msimamo wake. Basi tukubariane kuwa wewe ni mwanaccm unayeitakia mabaya ccm na hivyo ndivyo nikuonavyo na uccm kindakindaki wa wazee wako huusiani nao wewe ni gugu.Mimi ni kujibu kidogo tuu, Sio kwamba kila anaeikosoa Serikali, au Ccm Ni Ukawa, usimtafsiri mtu ambae anasimamia ukweli. Mnataka hata kitu cheusi sote tuseme cheusi? Nikuwekea picha ya kuanzia Babu yangu, baba yangu, Na bibi yangu ambae wote hawa kwenye Ccm wanatambulika Kimataifa utakata kinywa wazi. Sijawahi kuwa mpinzani. Lakini Mara zote wapinzani wanawambia wao wanasema ili murekebishe.
Alitakiwa afafanue ana akili ya nguruwe kivipi wakati picha inaonesha wazi na hata body guard wake kakosa pa kukaa. Kuna vitu vingine hata havi hitaji kubishana na mtu na mtu akikosa hoja ndio utakuta anaishia kumkashia mtoa uzi kama huyo jamaa alivyofanya.Punguza jazba.
Mbona hueleweki komredi. Hivi unafikiri itikadi hurithiwa? Hata kwenye familia huwa kuna magugu. Nasoro Moyo yupo wapi? Kauli ya mtu yaweza mtambulisha mtazamo wake wa kisiasa. Pia Amani Karume kwa sasa haaminiki kwa msimamo wake. Basi tukubariane kuwa wewe ni mwanaccm unayeitakia mabaya ccm na hivyo ndivyo nikuonavyo na uccm kindakindaki wa wazee wako huusiani nao wewe ni gugu.
hahaaaaaaaaaaaaaaa.We Rais wa kisiwa umekaa kwenye ma bleachers nyuma nyuma halafu una mwanajeshi nyuma yako anakuuliza are you ok? Ridiculous. Zanzibar waachwe wawe huru kama Comoro watupunguzie gharama ya kuwatunza.
asante mkuunimependa fikiria yako........
Bashe kasema alichokiamini yeye na sijui nini kipo nyuma yake kwani misimamo yake kabla ya uchaguzi alikuwa upande gani wewe na wananchi wote mnajua. Vyombo vya habari ambavyo yeye ni sehemu ya uongozi wake nayo unayajua msimamo wake. Hivyo yeye kusema hayo wala si ajabu kama ilivyo si ajabu kwa Amani Karume.Nilichomaanisha kuisema Ccm Sio kuitakia mabaya, hata Rais Magu ameshawahi kutamka sana kuwa ndani ya Ccm kuna wanafiki, Na Mimi ni kuhakikishie tuu subiri apewe Rungu tuone Ccm maendeleo, Sio Ccm majungu.
Nyinyi Ni Ccm kisonge, hata Amani kwakua anasimamia ukweli hamtaki mnataka muipeleke wapi nchi hii? Mtu anayejiamini hawezi kupindishwa. Umemsikia Bashe juzi? Wewe unataka Ccm wote wafate bendera tuu.
haaaahaaaaahaaaa!!!!!ajali ajali mbadoMleta maada ni mpumbavu na lofa. Kwani mlitaka akae wapi?? Mbona hata akina Kagame walikaa sehemu za nyuma kama hizo kipindi Dr Magufuli anaapishwa. Yaani watu wengine akili zenu zimekaa kuwaza mambo mabaya kwa wenzenu, na bado mtakoma, Dr Shein ndiye rais mpaka 5 years iishe, na Dr Magufuli ndiye rais wa JMT.
Hahahahaaa kawekwa kule mwisho kwenye machuma kama katibu kata.Mh aibu ya mwaka hii Rais kukaa bench la nyuma . Hatareeeee