Common enemy will re-unite CCM

Common enemy will re-unite CCM

buhabi

Member
Joined
Dec 14, 2013
Posts
23
Reaction score
13
Kwa hali ya mambo ilivyo ndani ya chama pendwa na kikongwe cha mapinduzi,haielezeki
Kambimza urais na uhasama mkubwa sana unazid kupamba moto,niliwahi kuandika kuhusu threats zinazoletwa na uwepo wa makundi hasimu ndani ya CCM,na leo narudia tena,dawa ipo na soon naamini inakuja
Kuna tukio zito litaibuliwa,tukio litakalo wasahaulisha wanachama na wafuasi wa makundi haya hasimu,
Tukio linaandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu sana,tukio litakalowafanya wana CCM wajione kuwa wana adui mmoja na wanapaswa kuwa wamoja muda huo ili wavuke,amin usiamin tukio laja tena watu watastaajabu,
Ni wakumbushe tu tulipotoka,
Nchi iliyumba sana kwa matukio ya ufisadi na muungano ,lakin matukio yafuatayo yalizima mtikisiko ama mitikisiko hio ya nchi yetu
1. Popo bawa
Hili ni tukio lililo andaliwa kiustadi sana ili kuhamisha mawazo na pengine mafikirio ya weng sana na nchi yetu ikavuka katika tukio la ufisadi kama sikosei richmond na epa
2.mabomu ya mbagala na gongolamboto
Ni nanatakae endelea kusema anaandamana kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu huku mabomu ya gongola mboto yakiendelea kurindima?
Wapinzan waliapa kutotawalika kwa serikal ya rais kikwete,wakawa wana andamana kila kukicha na hatimaye gongo la mboto likawa hitimisho kama sio mwanzo wa mwisho wa fujo hizo
Mbagala ni mambo yamuungano
3. dengue
Ugonjwa ambao kuingia na kuisha kwake mnajua vyema sana
Mnaelewa nn kilizimwa
4. Escrow nananaendelea kufuatilia hatima yake?
Na mengine mengi mnayajua
Sasa subirin magenius wako kazini ,mtasikia muda si mrefu
Chama kitakaa sawa,makundi yatazimwa na tutaingia kwenye uchaguz tukiwa wamoja na wenye nguvu ya pamoja
Haijalishi tukio lijalo litapoteza maisha ya wachache ama litatia vilema ama litatia baadhi ya watu umaskin wa milele,kikubwa ni kuunganisha chama na kuua makundi kwa gharama yeyote ile unayofikiria wewe
Sasa kaeni mkao wa kupokea tukio zito lililopikwa kiustadi wa hali ya juu sana
 
Nikuhakishie kuwa utawala wa cc unafika kikomo octoba 2015.mungu analeta neema kwa watu aliowapa nchi tajiri.
 
Hatuishi kwa matukio na hatuaminishwi mambo yasiyo na matumaini na Mungu wetu ni Mungu muaminifu. Safari hii wakijitahidi tu itawarudia wao na watalia kweli na kujuta waliyopanga hayo maovu. Siyo lazima CCM wawe watawala, Mungu ni muaminifu na itawarudia wao wanaopanga maovu!
 
What we need is civil war kama kenya au Nigeria kisha tutakaa na kuandika katiba mpya na kuheshimiana
 
Wengi wao hawana nia na urais. Wameona kuna nafasi za ubunge na waliokuwa wabunge tayari wameona nafasi zao kwa sasa zipo rehani baada ya watz kujua ukweli na kubadilika. Wengi wanagombea km kina muhongo ili wananchi sehemu wanazotoka waone na waseme km aligombea urais kakosa basi anaweza kuwa mbunge wetu........
HILO NDO KUBWA ZAIDI.
Lengo lingine ni kwamba wengi wao ni opportunists, wanaangalia upepo ili baada ya majina yao kukatwa wapate nafasi ya kujiunga na mitandao ya urais ili hapo baadaye waweze kufaidi angalau ukuu wa wilaya au ubarozi au ubunge wa kuteuliwa.
HILI NI KUBWA LA PILI
Ndipo ccm walipotufikisha.
 
Kwa hali ya mambo ilivyo ndani ya chama pendwa na kikongwe cha mapinduzi,haielezeki
Kambimza urais na uhasama mkubwa sana unazid kupamba moto,niliwahi kuandika kuhusu threats zinazoletwa na uwepo wa makundi hasimu ndani ya CCM,na leo narudia tena,dawa ipo na soon naamini inakuja
Kuna tukio zito litaibuliwa,tukio litakalo wasahaulisha wanachama na wafuasi wa makundi haya hasimu,
Tukio linaandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu sana,tukio litakalowafanya wana CCM wajione kuwa wana adui mmoja na wanapaswa kuwa wamoja muda huo ili wavuke,amin usiamin tukio laja tena watu watastaajabu,
Ni wakumbushe tu tulipotoka,
Nchi iliyumba sana kwa matukio ya ufisadi na muungano ,lakin matukio yafuatayo yalizima mtikisiko ama mitikisiko hio ya nchi yetu
1. Popo bawa
Hili ni tukio lililo andaliwa kiustadi sana ili kuhamisha mawazo na pengine mafikirio ya weng sana na nchi yetu ikavuka katika tukio la ufisadi kama sikosei richmond na epa
2.mabomu ya mbagala na gongolamboto
Ni nanatakae endelea kusema anaandamana kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu huku mabomu ya gongola mboto yakiendelea kurindima?
Wapinzan waliapa kutotawalika kwa serikal ya rais kikwete,wakawa wana andamana kila kukicha na hatimaye gongo la mboto likawa hitimisho kama sio mwanzo wa mwisho wa fujo hizo
Mbagala ni mambo yamuungano
3. dengue
Ugonjwa ambao kuingia na kuisha kwake mnajua vyema sana
Mnaelewa nn kilizimwa
4. Escrow nananaendelea kufuatilia hatima yake?
Na mengine mengi mnayajua
Sasa subirin magenius wako kazini ,mtasikia muda si mrefu
Chama kitakaa sawa,makundi yatazimwa na tutaingia kwenye uchaguz tukiwa wamoja na wenye nguvu ya pamoja
Haijalishi tukio lijalo litapoteza maisha ya wachache ama litatia vilema ama litatia baadhi ya watu umaskin wa milele,kikubwa ni kuunganisha chama na kuua makundi kwa gharama yeyote ile unayofikiria wewe
Sasa kaeni mkao wa kupokea tukio zito lililopikwa kiustadi wa hali ya juu sana

Kumbuka what happened at the peak of capitalism when there was a threat of revolt against capitalism by the exploited-capitalist reformations
 
Back
Top Bottom