Comment ziwe fupi fupi

Comment ziwe fupi fupi

Huyu anaigiza TU ana mchepuko wake naujua Mpk unapoishi
Mwanaume kamili uwe hivyo, asijekuwa mchicha mwiba(wanaokula na kuliwa) au ndiyo kuishiwa contents? All in all sijamuhukumu kwa kuwa sina ushahidi wowote, mambo ambayo hayafanywi hadharani ni ngumu kuwa na ushahidi nayo.
 
Tatizo LA wabongo ndo hili, aliyekuambia kila mwanaume anataka wanawake nani? Wamekuachia wee hivyo vitu vizuri, uvitumie kwa wingi, ushindwee wee tyuuh.

Kuna mdau humu kwenye mada fulani alisema Mombasa watu wanatembea na vipisi vya mavi kwenye boksi la kiberiti sasa km tumefika huko kina mama nani atawatoa nyege
 
Back
Top Bottom