Looh!! Una roho ngumu we kakaHahaha ila usidhani ni uongo haya yanafanyika kabisa.
Nilishamfanyia mwanamke hivi ila nimekuja kugundua nilifanya unyama baada ya miaka 10 kupita.
Nilikutana naye kwenye daladala...nikampanga wee takaribani lisaa lizima mwisho akakubali. Tukaenda lodge.
Nikalipa pesa tukaingia tukaoga kisha tukafanya mambo.... kisha nikamwambia naenda kukuchukulia chakula nisubiri....
Nikapotea moja kwa moja. Huyo mwanamke na uhakika alinilaani maisha yake yote....ila anisamehee tu maana nilikuja kujutia.
Nakupenda dada.Looh!! Una roho ngumu we kaka
kwa kweli mambo ni magumu
😂
Nimecheka kifala sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe nawe umekua boya sasa kwani kuna kosa hapo ulilofanya ataenda kula kwao shuwaini ila nimependa ulichotenda mkuuHahaha ila usidhani ni uongo haya yanafanyika kabisa.
Nilishamfanyia mwanamke hivi ila nimekuja kugundua nilifanya unyama baada ya miaka 10 kupita.
Nilikutana naye kwenye daladala...nikampanga wee takaribani lisaa lizima mwisho akakubali. Tukaenda lodge.
Nikalipa pesa tukaingia tukaoga kisha tukafanya mambo.... kisha nikamwambia naenda kukuchukulia chakula nisubiri....
Nikapotea moja kwa moja. Huyo mwanamke na uhakika alinilaani maisha yake yote....ila anisamehee tu maana nilikuja kujutia.
huyu jamaa kavimbilwa vitu gani sasa wakati watu tunaka pesa au mali kweli nimeamini tajiri awezi kwende peponi huyu jamaa ajawahi ata kaulala na njaa wa kufikilia shida anaongea tu