Comment ya mke wangu imenifumbua macho.

Angalizo............ Ukicheat usimdharau mumeo, usimuonyeshe kiburi, usitoe siri za ndani, ukiombwa unyumba jitume haswa, hata kama husikii utamu, jifanyishe umekojoa vinne lol, usichelewe kurudi home. Usiwaeleze mashosti mambo yako.... Usipigwe picha za utupu, usiende na gari yako, ipaki sehemu chukua taxi. Kama anauwezo kuna ma appartments town kwa ajili hiyo lolests
 
wanaume hapa tuna general rule moja tu nikikumata mke una cheat ni RED CARD tu wakati mi ukinikamata the worst case scenario ntakuomba msamaha baada ya cku kadhaa yataisha ila wewe huna chance ya kusamehewa so ladies kumbuka hii general rule of thumb if you cheat just cheat at your own peril!!!!!
 
inawezekana pia kati ya watoto alionao mmoja siyo wake! ha ha ha ha!
 
lo lo lo lo loh! wewe ni hatari aseeh!
 
ndo utulie sasa kama hutaki kupishana na mkeo guest.....tamaa weka pembeni.
 
mla vya wenziwe na vyake shurti viliwe
 
thank you for reminder, we normally cheat but responsibly! Dont worry, we wont be caught sweet hubbies........
 
^^
Ndio maana nachukia unafiki wa mwanamke! Keep it open,, Off you go kwa hao wanaokulala.
^^
 
^^
Ndio maana nachukia unafiki wa mwanamke! Keep it open,, Off you go kwa hao wanaokulala.
^^

why should I kp it open...... Ili uni u4 mushi... We dont have that luxury 4 hubbies........
Afterall ulishanitia doa la ndoa nani ataoa mke wa mtu?......
Isitoshe wewe mwenyewe unacheat kwa kujificha..... Why not me?
 
thank you for reminder, we normally cheat but responsibly! Dont worry, we wont be caught sweet hubbies........

Hahahahahaha yaani unazidi kuwatia hasira wanaume
👏👏👏👏👏👏 safi unawapa makavu yao live, wamama tunaumizwa sana.
 
Tanzania ni taifa la freestyle.... Kwenye professions, siasa, familia na hata imani

tumekubali hilo, tunaoshi kweli yetu mpya na tusilalamike fimbo inapotupiga

it is a sad truth

Heshima ya ndoa imebaki kwa wanaotaka kufunga ndoa tu
 
why should I kp it open...... Ili uni u4 mushi... We dont have that luxury 4 hubbies........
Afterall ulishanitia doa la ndoa nani ataoa mke wa mtu?......
Isitoshe wewe mwenyewe unacheat kwa kujificha..... Why not me?

^^
Si kila mwanaume ana harsh psychology ya kumtreat mwanamke! Mental torture inakutosha.
Btw Unayafanya hayo ukiwa unajua una mume wa aina gani. Ukiwa na wa aina yangu Utaondoka bila kufukuzwa.
^^
 
^^
Si kila mwanaume ana harsh psychology ya kumtreat mwanamke! Mental torture inakutosha.
Btw Unayafanya hayo ukiwa unajua una mume wa aina gani. Ukiwa na wa aina yangu Utaondoka bila kufukuzwa.
^^

hata simba mkali lakini ananyonyesha......... Utaacha na kuoa kila siku..... Ukijiheshimu utaheshimika ........ Ukileta za kuleta utachapiwa vilevile
 
Ulivyoongea hadi umetia huruma,Pole na ndo na nyie mtulize tamaa zenu.

^^
Sisemi wanaume wako sahihi..panapoonekana pana tatizo Zungumzeni.
Chovya Chovya huleta Buyu la Virusi
^^
 
hata simba mkali lakini ananyonyesha......... Utaacha na kuoa kila siku..... Ukijiheshimu utaheshimika ........ Ukileta za kuleta utachapiwa vilevile

^^
Hiyo methali si mahali pake.. Kuchapwa chapwa tu ikibidi lala huko,,tena usiwatoze ushuru si unakomoa?
Furaha ya ndoa ni kuzungumza tofauti zenu na sio kwenda kuwa kinu au mwichi nje ya kitanda halali.
Magonjwa hayana staha.
^^
 
ndugu zangu swali kwa wanandoa,ni sababu zipi zinazowafanya m cheat au kuwa na mahusiano ya kimapenzi nje ya nyie wawili? (ndoa)nini kinawatoa ndani kwenu na kwenda kutafuta mapenzi njeee???????????????
 
Hiyo ni kweli kabisa binafsi nimeshaprove kwenye ndoa mbili wanaume walikuwa wanachit na wake zao walipogundua wakaanza kuchit mke anakuwa anaona hakuna haja ya kuwa mwaminifu wakati mumewe si mwaminifu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…