Coming Soon to Bongo. Recognize the owner?!.

Heheh mtani hivi huo usafiri utaupitisha wapi kule....kwanza kabla tu ya kufika huko Mbezi, huku Ubungo sijui Baruti kuna matuta chungu nzima

kwa hiyo kama anakaa mbezi kavu kwetu haifai?
aaa h mtani vibaya hivoo
 

aisee bora umempa heshima yake bwana mosha..
 

Hii ni ndege ya chini!
 
:bored::bored::bored:.....AKIINUNUA HII BASI NITAMHESHIMU......MRSP YAKE NI $990,000

Hahahaa daaah! Yaani hiyo ndo inakutia kiwewe? Je akinunua hizi si utamramba miguu kabisa?

Cheki Lambo Veneno hiyo (huku kwenye maboksi tunaziita hivyo - Lamborghini). MSRP $4,000,000.00



Nani anayo hiyo huko mavumbini? Wiki jana nimepishana nayo kwenye GA - 400.

Halafu kuna hii ambayo labda baadhi yenu mtakuwa mshaiona kwenye runinga na/au kuisikia. MSRP $2.5 give or take depending on features, engine power, etc.



Hizo ndinga zipo mavumbini?

And btw, wenye pesa za ukweli wala huwa hawaendeshi ndinga kama hizo. So kwa vile tu mtu anamiliki gari ya bei kubwa hiyo haimaanishi yeye ndo mwenye mkwanja mrefu zaidi.
 
Vizabizabina mtamwagiwa tindikali shori zenu
 
Kwenye ile orodha ya Kikwete hayumo kweli?,oooh!!sorry
 

Nilikuwa sijui kama wewe kijana una dharau hivi......
 

Ile Lamborghini kanunua mtumba kwa Omary Bakhresa ambayo mwenzake kaendesha wee akaiweka store,,wenzake kina Omary na yule mhindi wa Shivacom wana magari latest tena yakitoka tu lakini hujui wala hawana ushamba wa kichagga kuja kujitangaza.

Mkuu hapo kwenye Buggati Veyron nirudie chenji yangu hakuna hata m1 anayo tena Africa yenyewe sidhani kama zaidi ya Samuel Etoo kuna mwingine anayo.
 
Ushamba wa kichaga ndio upi huo mkuu????????
 
Mkuu niwie radhi kama nimegusa kabila lako si unajua tena huyu jamaa kila muda huwega anaanzishiwa thread.

Kumiliki hela ndefu ni ushamba wa kichagga,kumiliki mkoko mkali ni ushamba wa kichagga,kumiliki mijengo ya maana ni ushamba wa kichagga,kumiliki biashara kubwa ni ushamba wa kichagga,na sasa hata kujulikana kwa mafanikio yako pia ni ushamba wa kichagga!!! Natamani na mimi niwe mshamba wa kichagga!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…