gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
hivi hawez kuniuzia moja kama used ya kibongo?? jamaa ndo mana nasema kaka nakuheshimu manake huwa ananishapa fimbo balaa.Usisahau na hili hapa chini...Range Rover - Lumma CLRR
![]()
![]()
hivi hawez kuniuzia moja kama used ya kibongo?? jamaa ndo mana nasema kaka nakuheshimu manake huwa ananishapa fimbo balaa.Usisahau na hili hapa chini...Range Rover - Lumma CLRR
![]()
![]()
Mmh hapana jua rafiki...huko niwaonao ni MO na Patrick Ngowi
mwali huyu ni mfanya biashara hayo mengine sijui ila namuadabia tu kwa mbwembwe zake.
Kama anaishi Masaki, Oysterbay na shughuli zake ni Posta Mpya mbona haina shaka kabisa
sissy...........unamuadabia kwa mbwembwe zake?!?!?
hapo red ulimanisha P Ngowi ama P Ngiloi?Mmh hapana jua rafiki...huko niwaonao ni MO na Patrick Ngowi
Akae masaki wapi mkuu kwake hata uwanja wa kuweka kabustani hakuna,,,sema ni chizi magari.
hapo red ulimanisha P Ngowi ama P Ngiloi?
"spenkyu so maaach" (in Jim Carey's voice)
Patrick Ngowi...bwana mdogo mmoja hivi late 20's lakini kafanikiwa sana kwenye business ni millionaire in terms of USD
Huyu ndio yupo kwenye list ya forbes
Ten Young African Millionaires To Watch In 2013 - Forbes
![]()
Kama anaishi Masaki, Oysterbay na shughuli zake ni Posta Mpya mbona haina shaka kabisa
Kama anaishi Masaki, Oysterbay na shughuli zake ni Posta Mpya mbona haina shaka kabisa
Model: Maserati GranTurismo
Displacement: 4244cc, V8
Top Speed: 177mph [hii ni kama 285 km/h]
0-62mph Acceleration: 5.2 seconds
![]()
Mara ya mwisho umepita Oysterbay Primary upande wa Msasani Road lini?
Obay has mostly gone to the dogs.