Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,579
- 1,080
mdogo wangu huyu jamaa, ukweli huwa ananichapa fimbo sana na mambo yake.
mdogo wangu huyu jamaa, ukweli huwa ananichapa fimbo sana na mambo yake.
Ila siku hizi nimejifunza kutokutamani maisha ya watu yenye manjonjo manake bana huwez jua wanapata shida gani kwa mumiliki pesa hizo ama mali hizo. mwanzoni nilipata tabu sana as nilikuwa nasemaga hivi mtu anafanya fanyaje hadi naweza kumiliki gari zuri kama hili?? na kwann mm siwezii kwani nakosea wapi??
nikaja kugundua weeeeeee....................hawa wenye haya waacha kama walivyo siri zao wanazijua wenyewe. siku hizi nimebaki kuwapongeza tu kwamba Davis kaka yangu hongera sana.
Engine | Mercedes-Benz AMG 12 cylinder V 60°; 48 valves; displacement 7291 cc |
---|---|
Max. Power | (kW) hp/rpm: (443) 602/6150 |
Max. Torque | Nm/rpm 760/4000 |
Weight-to-Power ratio | 2,04 kg/hp |
Clubsport-version* | (kW) hp/rpm (478) 650/6200; Nm/rpm: 780/4000; weight-to-Power ratio: 1,89 kg/hp |
Intake manifold | Aluminium hydroformed alloy/avional MHG-System; exhaust manifold in hydroformed steel/inconel |
Transmission | Longitudinal mid engine; rear wheel drive with self-locking differential |
Clutch | Twin plate clutch |
Gearbox | Mechanical 6 speed (+ reverse) |
Brakes | 4 ventilated Brembo disks, hydraulic power brake |
Steel brakes | Front 380x34 mm 6 piston caliper; rear 355x32 mm 4 piston caliper |
Carbon-ceramic brakes* | Front 380x34 mm 6 piston caliper; rear 380x34 mm 4 piston caliper |
Steering | TRW rack and pinion power assisted |
Wheels | Forged aluminium/magnesium alloy APP wheels; 19" front, 20" rear |
Tyres | Michelin Pilot Sport 2: front 255/35/19; rear 335/30/20 |
Suspensions | 4 independent wheels with double A-arm; pull rod helical springs and Öhlins adjustable shock absorbers; anti-roll bar; aluminium/magnesium alloy suspension arms |
Structure | Central carbon fiber chassis; front and rear Cr Mo space frames; carbon fiber "MD System" bodywork panels |
Dimensions | Length 4435 mm; width 2055 mm; height 1141 mm; wheelbase 2730 mm; dry weight 1230 kg (without Comfort Pack and with CCM brakes) |
Weight distribution | 46% front; 54% rear |
Downforce | ~600 kg at 300km/h (Clubsport version); downforce distribution: ~270 kg front; ~330 kg rear |
Vehicle-Diagnosis* | TMD remote diagnosis; Texa Mobile Diagnostic |
Safety | ABS/Traction Control Bosch; central carbon fibre safety; cell with steel and carbon fibre roll bar; front and rear impact energy absorbing structure in carbon fibre and Cr Mo |
Performance | Acceleration 0-100 km/h 3,6 sec.; 0-200 km/h 9,8 sec.; Lateral g's: 1,4 g with SPORT setting; Braking 200-0 km/h: 4,4 sec.; Top speed: > 345km/h |
Ile gari yake ya mwanzo ilikuwa yachubuliwa na deiwaka wa daladala, ila hili sasa nadhani hata siye wenye mikweche yetu hatukawii kulichubua kwa kupigwa na bumbuwazi ya kulishangaa!!
spati pich na ka shoti chases changu eti niko nae kwenye folen pemben yake..............
mweeeh!!!!!!!!!!!!
haya maisha bana sijui. lkn hivi lile jingine kaliuza ama??
Ngoja King Kong III anisaidie kujibu hilo swali...ila ndhani atakuwa nalo tu maana jamaa anapenda sana magari
Tatizo hili gari litakuwa linapita bara bara gani?
Kama anaishi Masaki, Oysterbay na shughuli zake ni Posta Mpya mbona haina shaka kabisa
dah!! huku Lamborghini huku Maserati grantursimo haya ngoja nimpe heshma yake bhana!!
nilijua tu kwa style hiyo lazima apete. Ila kama ndo anataka kwenda mabwepande lazima apaki mzigo home.