Coming Soon to Bongo. Recognize the owner?!.

Coming Soon to Bongo. Recognize the owner?!.

Kwenye ile orodha ya Kikwete hayumo kweli?,oooh!!sorry

Huyu hawezi kuwemo kwani ni rafiki ya Ritz na ndio maana waliongozana nae pamoja na baba MwanaAsha kwenye kuapishwa kwa Uhuru na Ruto kule Nairobi!! Mosha alikuwemo kwenye official delegation ya Tanzania kwenda Kenya!!!Usicheze na mkweree mahala penye mkwanja.
 
Ile Lamborghini kanunua mtumba kwa Omary Bakhresa ambayo mwenzake kaendesha wee akaiweka store,,wenzake kina Omary na yule mhindi wa Shivacom wana magari latest tena yakitoka tu lakini hujui wala hawana ushamba wa kichagga kuja kujitangaza.

Mkuu hapo kwenye Buggati Veyron nirudie chenji yangu hakuna hata m1 anayo tena Africa yenyewe sidhani kama zaidi ya Samuel Etoo kuna mwingine anayo.

Daa hii buggati mmmh ! Ningetua kg zangu 150kg !! Kawaida kabisa si zilikuwa bilioni 6.8 nini mbayaaaaaaa!!!!
 
Huyu Davis Mosha naona sasa anataka kufanya kufuru nyingine...wapi King Kong III na gfsonwin

attachment.php

Mtanzania mwenye utajiri wa hajabu by le Mutuz
 
huyu naye yumo kwenye listi ya forbes?!?!
ama yupo kwenye list ya big companies sijui au large taxpayers?
yupo kundi gani vilee..............nsaidie watu8 na gfsonwin

muulize yule chalii aliyekamwatwa kule sijui ndio hongkong au wale kinadada waliokamatwa sauzi kama huyu jamaa yuko kwenye list yao.
hlafu nasikia hawa jamaa kama wakitumaga mizigo ikabuma wanafanyaga manunuzi ya vitu vya thamani kujipoza moyo
 
Last edited by a moderator:
muulize yule chalii aliyekamwatwa kule sijui ndio hongkong au wale kinadada waliokamatwa sauzi kama huyu jamaa yuko kwenye list yao.
hlafu nasikia hawa jamaa kama wakitumaga mizigo ikabuma wanafanyaga manunuzi ya vitu vya thamani kujipoza moyo


sasa kitalolo hao machalii na wakinadada si wako mikononi mwa vyombo vya dola vya inji husika! ntawapataje? nisaidie basi?!?!
 
Last edited by a moderator:
who knew of his wealth before before kikwete and ridhiwan took over/hijacked the national treasury?i personally never heard of him before.
 
sasa kitalolo hao machalii na wakinadada si wako mikononi mwa vyombo vya dola vya inji husika! ntawapataje? nisaidie basi?!?!

Unataka kuniunganisha na huo mtandao best?? ushaona mi ndio naniauwezo wa kuwapata mimi huo mtandao siumandi hata kama watanipa sh ngapi yaani nimelelewa kwenye mtaa ambao mateja walikuwa wanajidunga nyumba ya nyumba yetu nilikuwa naona jinsi wanavyoteseka kunawakati wanatafuta mshipa wa kujidunga haupatikani wanalilia kujidunga kama watato yaani sijui hizo dawa zina nini,
Kuna wakati wanatafuta mshipa wa kujidunga mpaka kwenye sehemu za siri za kiume halafu madawa yanawachosha kishenzi vijana unawaona wametoka kwenye familia zenye uwezo wanaanza kula madawa wanakuja kuwa kama wanyama yaani hatamaniki kumwangalia,
wakati mwingine najiweka kwenye hiyo nafasi na ninawaweka ndugu zanngu wa karibu na ninaowapenda kwenye hizo nafasi nasikia uchungu mpaka machozi yananitoka,

Nimeshuhudia vifo vya mateja wengi kweli nyuma ya nyuma yetu wanajidunga wakilala hawaamki wengi ni watoto waliozaliwa mtaa huo huo tumewazika kishenzi yaani.

Yaani dada yangu Palomawe acha tu wakati mwingine walikuwa wanatuchekesha kwa vituko vyao ila wakati mwingine tunaishia kulia kwa mfano wakishaishiwa wanavyohangaika kutafuta vitu vywa kuiba ili waweze kuviuza waende kununua dawa.
Kuna mmoja siku moja alikuta mama yake anapikia njee akabeba jiko na la kupia na mkaa wake anakimbia nalo akaliuze na vitu vingi walikuwa wanavipeleka kwa huyo huyo anayewauzia unga akiona kitu cha thamani anawapa unga anakichukua
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom