"coming of the age"

"coming of the age"

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
6,289
Reaction score
10,978
Wadau naomba msaada wa kuipata album hii ya Mr 2 a.k.a SUGU inayoitwa Coming of the age,
nimejaribu kwa baadhi ya website mbalimbali cjapata nyimbo za album hiyo japo hata audios naomba mautundu pls,
Natanguliza shukrani,,,!
 
Nenda makao makuu ya chadema pale kinondoni utaipata, hahahahaaaaa jus kiddin!!!
 
Back
Top Bottom