Comics za Tintin

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,834
22,944
Habari za leo wana jukwaa,enzi zile tulipokuwa wadogo kulikuwa na comics mbalimbali mfano hizo za Tintin ambazo zilitusaidia sana tupende kujisomea na kutujenga kiakili,nilichokigundua sasa hivi watoto wetu wame base sana kwenye uangaliaji wa cartoons kwenye TV na kutopenda kujisomea,sasa ningependa watoto niwachanganyie na vitu kama comics,je wapi naweza kuzipata za Tintin au nyinginezo?Ningeshukuru kama mtanielekeza pa kuzipata.
 
Comics za Tintin mkuu nyingi ni za kibaguzi. Fanya utafiti utagundua. I stand to be corrected.
 
Nilizisoma sana wakati nipo Kindergarten.
Kwenye Library ya Alliance Francais Dar es salaam walikua nazo kwa wingi siku za nyuma,sijui kwa sasa. Atakayeweza fika hapo aulize,aweza pata.
 
Nilizisoma sana wakati nipo Kindergarten.
Kwenye Library ya Alliance Francais Dar es salaam walikua nazo kwa wingi siku za nyuma,sijui kwa sasa. Atakayeweza fika hapo aulize,aweza pata.

Iko sehemu gani ya jiji la Dar Swat?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom