Comedy Movies.

lazima niitafute weekend hiii

ila hiyo ya vijana, na unajua mambo ya vijana. Ohhooo, sio uiangalie na wazazi. But haina makubwa ya kushangaza. Inachekesha sana, na inahusu maisha na changamoto za vijana wanapoanza kukua. :)
 
ila hiyo ya vijana, na unajua mambo ya vijana. Ohhooo, sio uiangalie na wazazi. But haina makubwa ya kushangaza. Inachekesha sana, na inahusu maisha na changamoto za vijana wanapoanza kukua. :)

asante dadiito
 
lazima niitafute weekend hiii

mi nakushauri uangalie movie za Danny de vito, utacheka sana km
1. Matilda
2. Other Peoples money

Also Tom Hanks - The terminal,
Michael Douglas - War of the Roses
Jack Black - School of Rock
Due Date -
Couples Retreat -
 
Mrs doubtfire By robbin williams
Rate Race kuna vichwa vya komedi kama Mr Bean, Whoopi Goldberg, Cuba Goodin jr, John Lovitz etc
The 40 Year Old Virgin by Steve Carrell
 
Ma dadiito mamiito. Am a great fan Of Comedy Movies.

Among the List is

1. The Pink Panther
2. John English
3. The sweetest thing
4. Mr. bones

Hizo ndo nimeziwatch na real The pink panther drove me mad with laughter.

Jamni kuna aliye na the same taste anaweza kuniongezea kwenye list yangu nikaenda kutafuta over the weekend Buddies.

HANGOVER -1&2 ,GROWN UPS, Life -eddie murphy

Tafuta hizi hapa ni za karibuni mostly 2010

Cop out
(pia yaitwa a couple of dicks) ya bruce wills na tracy morgan

Our family wedding
Ya forest whitaker

Greenberg
Ya ben stiller

Hot tub time machine
Ya john cusack

Diary of wimpy kid
Ya kitoto ya zachary gordon

Date night
Ya steve carell

Killers
Ya katherine heigl

Get him to the greek
Jonah hill

Grown ups
Adam sandler

Knight & day
Tom cruise

The other guys
Will ferrell

Lottery ticket
Bow wow

Jackass 3D
Johnny knoxville

Due date
Robert downey jr

How do you know
Reese witherspoon

Little fockers
Ben stiller

kwa list yangu.

1.american pie (all 7 movies)
2.everybody hates chris
3.the mask
4.bruce almight
5.mr bean's holiday
6.the god must be crazy
7.my name is early
8.all mr bean's series
9.dont mess up with zoan
10.the mask 2.

Fear click~adam sandla

Yes man,dont mess with zohan,black knight,

mi nakushauri uangalie movie za Danny de vito, utacheka sana km
1. Matilda
2. Other Peoples money

Also Tom Hanks - The terminal,
Michael Douglas - War of the Roses
Jack Black - School of Rock
Due Date -
Couples Retreat -

Mrs doubtfire By robbin williams
Rate Race kuna vichwa vya komedi kama Mr Bean, Whoopi Goldberg, Cuba Goodin jr, John Lovitz etc
The 40 Year Old Virgin by Steve Carrell


Hizi list za movies nimeangalia zooote except hizo zenye Red!! Great Movies....
 
lol a bunch of great comedy movies olala 80% percent nimeziona zingne will definetly find and watch... Aaah! It feels great to finally reach a place were people love comedy! Lol. Big up wote.
 
Back
Top Bottom