Comedians mnafeli wapi?

Comedians mnafeli wapi?

Na hua anapambana hasa, humwambii kitu kuhusu wasafi. Kama anapata mkwanja kupitia hyo basi well and good, ila kama ni ushabiki tu daah basi ni hatari
Kwani Kuna ubaya gani kuizungumzia WCB? Ukiangalia humu jamvini asilimia kubwa Ni habari za WCB mbona Hilo ushangai Kama watu wanafanya vizuri na Wana matukio mengi yakuzungumzwa kwanini watu wasiwazungumzie?
 
Mwingine huyu. Inaonekana unawazaga Sana kuhusu hizo mambo na ndo maana unajifanya unachukia hapa. Punguza mawazo machafu kichwani mwako. Anza kuadopt vitu vingine ili uache kufikiria kumtoboa mwanaume mwenzio.

Pathetic.
Ulishawahi kumuona baba yako amevaa kama mwanamke?

Au baba yako atafurahi akikuona umevaa kama mwanamke?
 
Ulishawahi kumuona baba yako amevaa kama mwanamke?

Au baba yako atafurahi akikuona umevaa kama mwanamke?
Kwani baba yake anafanya kazi za Sanaa? au hao wanaigiza Kama wanamke unazani hawana familia? Na unazani awajui kwamba mzee yupo kazini? Acha kuforce vitu ambavyo havipo au una access na huo ushoga maana unavyon'gan'gania unanishangaza Sana.
 
Unang'ang'ania sana kuvaa kama mwanamke.
Kuwa makini ukiwa umevaa madera yako watakushika mroso.
 
Hua napenda vipindi vya comedy kama kile kinaitwa Bamba live na baadhi ya comedian nikikutana na vichekesho vyao nacheka siku zinasonga ila kusema kua huyu ni my fav, sina kwakwel.

Kwa Kenya nampenda sana Eric Omondi na yule anajiita Nicki bigfish, Ug namkubali Kansiime. Hao hua nawafatilia

Eric Omondi havai kama mwanamke?
 
Hua napenda vipindi vya comedy kama kile kinaitwa Bamba live na baadhi ya comedian nikikutana na vichekesho vyao nacheka siku zinasonga ila kusema kua huyu ni my fav, sina kwakwel.

Kwa Kenya nampenda sana Eric Omondi na yule anajiita Nicki bigfish, Ug namkubali Kansiime. Hao hua nawafatilia
Hongera kiasi flani umeweza kubadilisha uzi. Umekuja kuwa uzi wa wasanii wa comedy wanaokubalika east afrika[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi kwa mtazamo wangu sioni kama wana kosa. Ni talent yao na ndo inawasaidia kujitunza wao na familia zao. Kuigiza kuwa wakike c kosa, ila ukizama ukafanya majukumu yoote ya mwanamke hapo inabidi upigwe mawe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachokikataa kwako wenzio wanakikeshea....kuna watu ndo aina ya comedy wanapenda so usiangalie tu kwa upande wako
 
Watu kama nyie kwenye Mada hizi huku ndo mnapokimbiliaga, mnaanza kuuliza vitu binafsi ili hapa nikikujibu "ndio" uanze kubwabwaja matusi. Hapa tunaongelea comedians baba kaingiaje?

Hivi Joti si anaigiza Uzee je akili zake ni za kizee? Kuna muda Dulivani anaigizaga kama mtoto mbona hamsemagi Ana akili za kitoto? Ila akiigiza kama mwanamke ndo anakuwa shoga. Yaaani mna double standards za ajabu Sana. Punguza wivu mkuu na uondoe Hiyo "Toxic Masculinity" attitude uliyokuwa nayo.
mtoto wako wa kiume akivaa kama mwanamke utakenua meno kuchekelea???
 
We jamaa hivi unajielewa?? Mimi nimejiongelea mimi hanichekeshi ndio maana siangalii tena comedy zake.

Sasa kama hanichekeshi mimi kwani dunia nzima wana interests kama zangu?? Kuna watu wanapenda pigo za kike kike kama WEWE inawezekana mko wengi..

Personal opinion yangu sio ya Taifa wala dunia na sijamshawishi mtu asiangalie .
Ungekaa nalo moyoni mwako, huo ndio wivu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom