Combi ya HGK na CBG ipi sio completed

Combi ya HGK na CBG ipi sio completed

Kijana kwanini unataka kujifedhehesha na upoteze muda bure na gharama nyingi walioweka 2 years kwa masomo ya 5 na 6 hawakuwa wajinga unajua form five biology ina topic ngapi,kemia na geography bado BAM sijui Kama CBG wanasoma kiukweli bila kupepesa macho ukisema mwaka mmoja lazima uzungushe.
Hivyo soma miaka miwili tu nakushauri soma CBG kama ni ualimu utakuwa na soko kubwa la kuajiriwa hata kama ni private sector.
Nawasilisha....
 
Mshika mawili moja humponyoka , kama umeamua kusoma, soma kweli, kama unataka kutafuta pesa achana kabisa na masuala ya shule
 
Hujaweka matokeo ya hesabu.. CBG inahitaji ujue BAM.. Kama hauko vizuri kwenye hesabu tafuta other alternatives.. Chemistry apo tu ordinary ulipata D unataka usome ya adv kwa mwaka 1 na upate A au B? mkuu kuwa serious kidogo.. Everything needs time hata io HGK unadhani utapata muda wa kujua vitu vyote? Umefatilia matokeo ya watu waliosoma izo comb kwa mwaka 1 yakoje? Au we hujui unachotaka.. 🙄

ONa ss ungecheka sangp,nshakuongezea umri ivooo
Kwa kweli, 😂😂😂😂
 
Wadau wa elimu na wazoefu wa hiz comb naomben ushauri.
Nataka kusoma 5&6 kwa mwaka1 kati ya cbg na hgk niende na ipi ambayo haitakuwa ngumu sanaa au na mambo mengi sanaaa ili nisiathir shughul za utafutaj pia.
Matokeo yang ni
Chemistry D
Bios C
Geog C
Hist D
Kiswahili D
Natanguliza shukrani🙏
Completed ndio nini,
 
Kasome CBG then ukimaliza nenda SUA kasome kati ya hizi kozi mbili, BSc. Forestry au BSc. Wildlife hutajutia
Sasa kwanini asiende Olmotonyi kusomea Diploma ya Forestry then akaenda SUA kwa Degree au kwanini asiende Mwika Wildlife akasomea Dilpoma ya wildlife then akamaliza na degree badala ya kupitia 5&6 kama Private candidate wakati kwa uhakika hataweza kupata hizo pass za kumuwezesha kwenda SUA kusomea degree.
 
Kijana kwanini unataka kujifedhehesha na upoteze muda bure na gharama nyingi walioweka 2 years kwa masomo ya 5 na 6 hawakuwa wajinga unajua form five biology ina topic ngapi,kemia na geography bado BAM sijui Kama CBG wanasoma kiukweli bila kupepesa macho ukisema mwaka mmoja lazima uzungushe.
Hivyo soma miaka miwili tu nakushauri soma CBG kama ni ualimu utakuwa na soko kubwa la kuajiriwa hata kama ni private sector.
Nawasilisha....
Soko kubwa la kuajiriwa kama ticha. Mpo serious kweli? Walimu wangapi graduate wanatanga mitaani? Unajua UDOM pekee wanamaliza walimu wangapi kwa mwaka?

Mwambie mleta mada aachane na mawazo ya kufikiria ajira kupitia Ualimu. Aende hata Bandari College akasomee Clearance anf Forwarding awe dalali mjini kuliko kuwa mwalimu tena kwa huo ufaulu wa kuunga unga.
 
Kaanze certificate then diploma ya kilimo..bachelor nakushauri soma BSc Agronomy pale SUA hutojutia dogo.
 
Back
Top Bottom