Combi ya HGK na CBG ipi sio completed

Combi ya HGK na CBG ipi sio completed

Harmoraj

Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
50
Reaction score
54
Wadau wa elimu na wazoefu wa hiz comb naomben ushauri.
Nataka kusoma 5&6 kwa mwaka1 kati ya cbg na hgk niende na ipi ambayo haitakuwa ngumu sanaa au na mambo mengi sanaaa ili nisiathir shughul za utafutaj pia.
Matokeo yang ni
Chemistry D
Bios C
Geog C
Hist D
Kiswahili D
Natanguliza shukrani🙏
 
Muulize G.KilibwA
 
Nenda TIA au CBE kachukue Certificate ya Accountancy, ukimaliza jiunge na Diploma ya Accountancy. Ukimaliza jiunge na Bachelor ya Accountancy au nenda Ardhi kasome BAF.
Usiende hizo combination mbili kwasasa. Matokeo yako ni mazuri sana
 
Chagua tahasusi kulingana na matarajio yako. Au kama ili mradi kusoma chagua yoyote kati ya hizo.
 
Kaka CBG kwa mwaka 1 mmh sijui lakini sie tumesoma cbg kaka lakini kwa mwaka 1 naona apo kasheshe pia inategemeana labda na akili ya mtu lakini kwa cbg sikushauri ila kama unaweza kusoma haswa sio uzembe nenda lkn ni mziki mwingine kwa mwaka 1 nahisi hautoshi maana apo kuna vi likizo likizo pia n.k
 
Nenda HGK kidogo utapata Four ya Mwisho, lakini CBG hiyo ni sayansi pure hapo ukosi F ya kemia na bailojia hiyo ni 22/7 labda utajitadi kupata hata ka E ka geography, lkn Kwa matokeo yako hayo uwezi toboa CBG Kwa mwaka mmoja Tena hapohapo upate na Muda wa kufanya kazi.

Form 5&6 ndo elimu ngumu kulko zote hapa Tanzania hyo Form 4 lilikua trailer huko Kuna hitaji Muda na commitment hakuna objective questions huko
 
CBG usome mwaka 1? Na hizo points 10 grades comb? Hata aliyepata 3 grades comb bado atasumbuka sana.

Bora uende Certificate, na safari ya Elimu ianzie hapo.
 
Nenda TIA au CBE kachukue Certificate ya Accountancy, ukimaliza jiunge na Diploma ya Accountancy. Ukimaliza jiunge na Bachelor ya Accountancy au nenda Ardhi kasome BAF.
Usiende hizo combination mbili kwasasa. Matokeo yako ni mazuri sana
Math kapata vipi?
 
Hujaweka matokeo ya hesabu.. CBG inahitaji ujue BAM.. Kama hauko vizuri kwenye hesabu tafuta other alternatives.. Chemistry apo tu ordinary ulipata D unataka usome ya adv kwa mwaka 1 na upate A au B? mkuu kuwa serious kidogo.. Everything needs time hata io HGK unadhani utapata muda wa kujua vitu vyote? Umefatilia matokeo ya watu waliosoma izo comb kwa mwaka 1 yakoje? Au we hujui unachotaka.. 🙄
 
Back
Top Bottom