Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 2,090
- 3,926
Habari wana JF, Tamisemi ilitangaza kuhusu mtaala mpya wa elimu ikiwemo na kuongezeka kwa combinations mpya ila mtaani nasikia ya kwamba kuna combinations zimefutwa ningependa mtu anijulishe ni comb zipi zilizofutwa?