Collabo na Papa Wemba: Diamond Platnumz kashashindikana

Nimejikuta nausikiliza huo wimbo usiku kucha hadi tumenuniana na wife, hapa sa hivi nasinzia sinzia tu ofcn, Diamond ni high level aisee kwa East Afrika.
na wewe mambo gani hayo?mke alikuwa anataka haki ya ndoa wewe unamsikiliza diamond sio vizuri.wajanja watamfundisha amsikilize nay wa mitego uanze lalamika bure
 
Sijaona comment ya mtu akisema wimbo ni mbaya.Imekuaje leo mbona watu wamekubaliana bila mvutano?
 
Diamond 'kafunikwa' vibaya, aliyeifanya hii nyimbo iwe nzuri ni Papa Wemba huyu mtu alikuwa anajua sana . . . Muziki ni hisia, msikilize Papa Wemba anavyoimba kwa hisia.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom