COICT first year 2016/17

COICT first year 2016/17

MwanazuoniMJ

Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
66
Reaction score
30
Habari zenu kwa wale ambao tumechaguliwa kwa fani ambzo zipo chini ya COICT UDSM, shule imeshaanza na ratiba ya vipindi inapatikana shuleni kijitonyama usiifuatae ratiba ambayo inauzwa stationery za main campus kwa sababu ni ya mwaka jana na masomo yamebadilika pia module codes zimebadilika.
 
Back
Top Bottom