😂😂😂😂😂Kuna utofauti kati ya technician na engineer
Chaguo ni lake.Achana na porojo.
Inategemea unataka kuwa nani:-
Fundi mchundo - DiT
Mhandisi - Udsm
Hahaha vita COET na ardhi iliishia wapi ?Waja ambao hawakupita COET. wanatema Nyongo zao hapa.
😂😂😂😂😂😂😂
Hata naelewa bas.Hahaha vita COET na ardhi iliishia wapi ?
USSR
ATC 🔥🔥Pako vizuri tu DIT ,ATC (Arusha) , MUST vyote viko poa.
Walio pita MUST wapo. Ninao wafahamu wapo mechanical 2 na Electrical 2
DIT/COET wote wanatoa degree kwhy ukigraduate unakua engineerKuna utofauti kati ya technician na engineer
Kila la heri, wahitimu wa MUST wanaitana wajumbe.Na sisi tuliochaguliwa MUST vipi? Unafanya kazi na mtu yoyote aliyesoma MUST?
Shukrani 😊Kila la heri, wahitimu wa MUST wanaitana wajumbe.
Ogopa matapeliDIT/COET wote wanatoa degree kwhy ukigraduate unakua engineer