Trubetzkoy
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 378
- 743
Ni unadishi wa programu za computer simu na vifaa mbalimbali kwa kutumia lugha za uandishi wa program kama python, c++, java, javascript, c#, php, na kadhalika.Habari!
Ushamba siyo dhambi, ushamba siyo ulemavu wala ushamba siyo ugonjwa.
Ushamba ni jambo la aibu ndiyo maana watu wengi hawapendi kuonekana washamba.
Kinyume na wengi wasiopenda kuonesha ushamba wao mimi huwa sifichi ushamba wangu kwa kile nisichokijua hasa nikihisi kitu hicho kina manufaa.
Neno coding siyo geni masikioni mwangu na ninahisi ni kitu muhimu sana kutokana na namna kinavyotajwa. Basi leo ningependa nami nipewe elimu kidogo Kuhusu coding.
Coding ni nini?
Ina faida gani katika maisha?
Ugumu na urahisi wa kujifunza coding ni wa kiwango gani?
Wataalamu naomba kueleweshwa nimechoka kukumbatia ushamba.
mql4 lugha ya hela.Ni unadishi wa programu za computer simu na vifaa mbalimbali kwa kutumia lugha za uandishi wa program kama python, c++, java, javascript, c#, php, na kadhalika.
I am sure you can use any other programing language to create fx bots just like mql4mql4 lugha ya hela.
W3school ni nzuri kwa kujifunza basics ila ina vitu kibao vinamiss aisee.Kiiukweli utapata watu watakuelezeA vzr ila ukitaka kujifunza neenda w3school huku ukiangalia yooutube
Sawa sawaNi unadishi wa programu za computer simu na vifaa mbalimbali kwa kutumia lugha za uandishi wa program kama python, c++, java, javascript, c#, php, na kadhalika.
Asante sana kwa ufafanuzi huuCode ni lugha ambayo tafsiri yake ni kwa mlengwa tu! Wengine wanaweza kusikia au kuona lakini wasijue maana!
Kwa mfano! Wataalam wa kuandika lugha ya computer wanaandika "code" ambapo huyo mtaalam na hiyo computer wanaelewana, lakini mtumiaji aelewi ampaka atafsiriwe.
Mfano mwingine ni mawasiliano katika majeshi wanapokuwa vitani au hata katika mawasiliano ambayo adui hatakiwi kujua hutumia "code" ili hatakama adui atapata maandishi au sauti asiweze kujua.
Mfano mwingine ni Biblia. Maandishi yaliyo kwenye Biblia yako "coded" huwezi kuyaelewa kwa akili ya kibinadamu
TrubetzkoyView attachment 2856866
Asante kwa wote walijaribu kudadavua neno code.
Mimi nilijua code ya mapato
Hapa pia nilitaka kufahamu ukishaijua hiyo coding unawezaje kuitumia katika maisha ya kawaida (application yake katika maisha ya kawaida)Pia kuna wanaofahamu kuandika code halafu hawana mbele wala nyuma
Application yake katika maisha ni kutatua changamoto za watu kupitia coding.Hapa pia nilitaka kufahamu ukishaijua hiyo coding unawezaje kuitumia katika maisha ya kawaida (application yake katika maisha ya kawaida)
Code za kubeti😂😂Asante kwa wote walijaribu kudadavua neno code.
Mimi nilijua code ya mapato
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Unaweza kuunda software yoyote ya kutumika offline au online, unaweza kuunda website yoyote, application yoyote na mengine mengi yanayohusiana na ITHapa pia nilitaka kufahamu ukishaijua hiyo coding unawezaje kuitumia katika maisha ya kawaida (application yake katika maisha ya kawaida)