Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,689
- 26,570
Zone M-Zulu
Mwaka wa Alpha-95, katika kisiwa cha M-Zulu, Echo-Lady alionekana kuendesha steringi huku Commander-One akiwa rasmi bado ndie kapteni wa jahazi.
Uhusiano kati ya Commander-One na Chief-of-Arms (C.O.A) ulikuwa katika hali ya Red Alert. C.O.A alijaribu ku-trigga mazungumzo kuhusu nani hasa ndiye anayeshika ‘Command’ wakati kapteni hayupo deck – ni Katiba au ‘Echo-Lady’?
C.O.A aliamua kujitoa kwenye game, aka-disengage kutoka HQ, akajifungia Zulu-Village.
Commander-One alifuata kwa Level-2 Talks, akaenda hadi Province-Level, lakini C.O.A alimtupa mkwara: “Rudi base.”
Commander-One hakuishia hapo – aka-summon Patriarch-Grand, aliyekuwa mzee mwenye gravitas – huyu ndiye alifanikisha Code-Stabilization Protocol.
Lakini trust ilikufa.
C.O.A akalazimika ku-slide aside, Bravo-General akawekwa kazini.
Code Bravo-95
Election Mode: ON
Kisiwa kilikuwa kwenye Flight-Mode, isiyojulikana kama ita-land salama.
Commander-One alikuwa tayari ku-eject.
Bravo-General akaweka lock: “Hakuna exit permit hadi countdown ya ballot iishe.”
Uchaguzi wa kwanza wa Multi-Channel Democracy uka-run.
Winner akapata Charter-Key, akachukua steringi. Game ika-reset.
Code Echo-202X
Miaka 30 baadaye, ghosts wa Alpha-95 wameanza ku-resurface, safari hii kiraia.
Mwenye alidhaniwa kuwa New-Patriarch ame-shift role – kutoka referee hadi player.
Kisiwq hakina pa kushika.
Old-Council wamezimia – mmoja wao yupo line ya mbele akicheza Drum-Warfare, akiwa ameinua manyanga juu kwa mikono miwili huku akicheka kama tayari akiwa na maslahi pia ipande.
Red Flags zimetundikwa kila kona.
Possibility ya Outbreak ni real –
Could be viral,
Could be liquid-based,
Could be yule mwenye koti jeupe la bara zima already did the seeding...
Bottom line: TRUST = NULL.
Conflict haijapoa.
Hii ni Silent Storm Protocol,
Na round hii ni ya Quantum-Warfare.
Watch the shadows...game imeshabadilika.