Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 10,950
- 15,601
hii pan panMayday,mayday,mayday.
hii pan panMayday,mayday,mayday.
mkuu kwenye kudecode nilishapotea.Leo na mimi nijaribu ku -decode;
-Nyerere vs Mwinyi na mama Siti Mwinyi (Nyerere alichukia Rais kushauriwa na mkewe)
-Nyerere akaamua kurudi butiama akaachana na CCM. Alirudi kwenye uchaguzi wa 1995
-Old councils (maraisi wastaafu wote down isipokuwa mmoja ambaye hataki kustaafu)... Niishie hapa
Miaka 30 baadae si ni sasa? Aliyetakiwa awe refarii kawa mchezaji tena (Msoga?). Nani anaongoza nchi? Nawaza tu doctor from ice-continent ni nani na tayari kafanya yake? Huenda two men down ikawa kweli ila nchi inabakije bila any old council? Mbona ngumu?mkuu kwenye kudecode nilishapotea.
ila wewe kumtaja siti -- mzee wangu alishawahi nipa story kuna dili walishalipata dakika za jioni wakapewa taarifa siti ndo kachomoa waya dili lao limekufa.
hivo naconclude huyo mtu ni jau kweli
hatari sana mkuu - mambo yanaenda kasi ngoja tuupe muda nafasiMiaka 30 baadae si ni sasa? Aliyetakiwa awe refarii kawa mchezaji tena (Msoga?). Nani anaongoza nchi? Nawaza tu doctor from ice-continent ni nani na tayari kafanya yake? Huenda two men down ikawa kweli ila nchi inabakije bila any old council? Mbona ngumu?
Tumetoka kapa wengi hapa.Kama ulitaka tusisome usingepost
Mwenye koti jeupe la bara zimaNawaza tu doctor from ice-continent ni nani na tayari kafanya yake? Huenda two men down ikawa kweli ila nchi inabakije bila any old council? Mbona ngumu?
Alituambia tunywe bia kwa wingi🤣🤣🤣Mwenye koti jeupe la bara zima
alwatani wa lishe -- huyu mzee ata ile siku alikuwepoMwenye koti jeupe la bara zima
Anawashusha wote wawili??🤔🤔🤔Mwenye koti jeupe la bara zima
REPLY_RECEIVEDI repeat romeo alpha india siera she is under atack do you copy?!
Anawashusha wote wawili??
Copy ana clear!REPLY_RECEIVED
ROMEO ALPHA INDIA SIERRA: CONFIRMED SHE IS UNDER ATTACK
REPEAT: R.A.I.S IS UNDER ATTACK
SIGNAL STRENGTH: WEAK
DO YOU COPY?!
COPY RECEIVED.Copy ana clear!