Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,728 Sep 15, 2017 #101 Joseverest said: Sawa na pia lugha unayotumia iwe nzuri kwa maana interview zilizopita niliona unahitilafiana na watu kadhaa kwa maneno makali Click to expand... Hiyo avatar na ID ya Joseverest uliyoiba utairudisha kwa mwenye nayo lini mkuu?
Joseverest said: Sawa na pia lugha unayotumia iwe nzuri kwa maana interview zilizopita niliona unahitilafiana na watu kadhaa kwa maneno makali Click to expand... Hiyo avatar na ID ya Joseverest uliyoiba utairudisha kwa mwenye nayo lini mkuu?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Sep 15, 2017 #102 Behaviourist said: Hiyo avatar na ID ya Joseverest uliyoiba utairudisha kwa mwenye nayo lini mkuu? Click to expand... Duuuh
Behaviourist said: Hiyo avatar na ID ya Joseverest uliyoiba utairudisha kwa mwenye nayo lini mkuu? Click to expand... Duuuh
L lokomu JF-Expert Member Joined Apr 25, 2013 Posts 4,916 Reaction score 3,509 Sep 15, 2017 #103 hahaha leo
DJ SEPETU JF-Expert Member Joined Apr 17, 2017 Posts 8,413 Reaction score 12,338 Sep 15, 2017 Thread starter #104 Mack Wild said: hahaha leo Click to expand... Karibu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,109 Reaction score 1,249,104 Sep 15, 2017 #105 Kweli kabisa,maana wengine hawaji kwenye interview kuafatilia mahojiano bali kutafuta sababu ya kututolea mapovu Shunie said: Muosha naniliu mwenyewe katumiss ndio hivyo acha tusizidi kukera watu Click to expand...
Kweli kabisa,maana wengine hawaji kwenye interview kuafatilia mahojiano bali kutafuta sababu ya kututolea mapovu Shunie said: Muosha naniliu mwenyewe katumiss ndio hivyo acha tusizidi kukera watu Click to expand...
Ibilisi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2017 Posts 3,465 Reaction score 5,586 Sep 15, 2017 #106 Coco nakusubiri kwa hamu uje unithibitishie, nasikia wewe si mtu mmoja ni taasisi kule lumumba
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,792 Reaction score 721,062 Sep 15, 2017 #107 carbamazepine said: Kumbe chit chat zinanyima watu raha wanashindwa kufuatilia interview Click to expand... kweli
carbamazepine said: Kumbe chit chat zinanyima watu raha wanashindwa kufuatilia interview Click to expand... kweli
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Sep 15, 2017 #108 Hance Mtanashati said: sina bifu naye ila tabia yake ya kutembelea nyota na umaarufu wa watu inakera sana. Click to expand... ametembelea nyota na umaarufu wa nani??
Hance Mtanashati said: sina bifu naye ila tabia yake ya kutembelea nyota na umaarufu wa watu inakera sana. Click to expand... ametembelea nyota na umaarufu wa nani??
DJ SEPETU JF-Expert Member Joined Apr 17, 2017 Posts 8,413 Reaction score 12,338 Sep 15, 2017 Thread starter #109 Numbisa said: Kweli kabisa,maana wengine hawaji kwenye interview kuafatilia mahojiano bali kutafuta sababu ya kututolea mapovu Click to expand... Shikamoo numbisa
Numbisa said: Kweli kabisa,maana wengine hawaji kwenye interview kuafatilia mahojiano bali kutafuta sababu ya kututolea mapovu Click to expand... Shikamoo numbisa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,109 Reaction score 1,249,104 Sep 15, 2017 #110 Marahabaa muosha make up DJ Sepetu said: Shikamoo numbisa Click to expand...
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Sep 15, 2017 #111 Hance Mtanashati said: Hao members anaowafanyia intavyuu. Kalikuwa hakajulikani kakaona ngoja katumie mgongo wa members maarufu hasa akina dada ili na kenyewe kajulikane. Ngoja niwaachie uzi wenu. Click to expand... Aisee...haya mkuu poa
Hance Mtanashati said: Hao members anaowafanyia intavyuu. Kalikuwa hakajulikani kakaona ngoja katumie mgongo wa members maarufu hasa akina dada ili na kenyewe kajulikane. Ngoja niwaachie uzi wenu. Click to expand... Aisee...haya mkuu poa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,109 Reaction score 1,249,104 Sep 15, 2017 #112 Hahahaha bora umesema,huyu wa sasa sio kabisa. Yule mwingine kabla ya kupotea alikua hajui kubishana wala kutafuta wachuchu humu Behaviourist said: Hiyo avatar na ID ya Joseverest uliyoiba utairudisha kwa mwenye nayo lini mkuu? Click to expand...
Hahahaha bora umesema,huyu wa sasa sio kabisa. Yule mwingine kabla ya kupotea alikua hajui kubishana wala kutafuta wachuchu humu Behaviourist said: Hiyo avatar na ID ya Joseverest uliyoiba utairudisha kwa mwenye nayo lini mkuu? Click to expand...
DJ SEPETU JF-Expert Member Joined Apr 17, 2017 Posts 8,413 Reaction score 12,338 Sep 15, 2017 Thread starter #113 Joseverest said: Aisee...haya mkuu poa Click to expand... Unasapoti nonsense! Numbisa said: Hahahaha bora umesema,huyu wa sasa sio kabisa. Yule mwingine kabla ya kupotea alikua hajui kubishana wala kutafuta wachuchu humu Click to expand...
Joseverest said: Aisee...haya mkuu poa Click to expand... Unasapoti nonsense! Numbisa said: Hahahaha bora umesema,huyu wa sasa sio kabisa. Yule mwingine kabla ya kupotea alikua hajui kubishana wala kutafuta wachuchu humu Click to expand...
Dx and Rx JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 1,324 Reaction score 3,154 Sep 15, 2017 #114 scooman said: Usisahu kumuuliza yeye, bashite na lemutuz wanashare ubongo? Ila kwingine wanajitegemea? Click to expand... Swali zuri sana
scooman said: Usisahu kumuuliza yeye, bashite na lemutuz wanashare ubongo? Ila kwingine wanajitegemea? Click to expand... Swali zuri sana
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Sep 15, 2017 #115 DJ Sepetu said: Unasapoti nonsense! Click to expand... Sina maana hiyo
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Sep 15, 2017 #116 Numbisa said: Hahahaha bora umesema,huyu wa sasa sio kabisa. Yule mwingine kabla ya kupotea alikua hajui kubishana wala kutafuta wachuchu humu Click to expand... mmh sawa Numbisa
Numbisa said: Hahahaha bora umesema,huyu wa sasa sio kabisa. Yule mwingine kabla ya kupotea alikua hajui kubishana wala kutafuta wachuchu humu Click to expand... mmh sawa Numbisa
mashoodjr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2016 Posts 2,222 Reaction score 1,512 Sep 15, 2017 #117 Bashite yupo busy hawezi kujibu maswali muda huu
Dx and Rx JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 1,324 Reaction score 3,154 Sep 15, 2017 #118 Petro E. Mselewa said: Mkuu, utampata 'RC' muda huu kweli? Leo umeingia 'choo cha kike' Click to expand... Naona interview imekuibua mkuu. Muosha masufuria ameanza kuleta mambo ya maana sana hapa jukwaani. Hongera kwake!!
Petro E. Mselewa said: Mkuu, utampata 'RC' muda huu kweli? Leo umeingia 'choo cha kike' Click to expand... Naona interview imekuibua mkuu. Muosha masufuria ameanza kuleta mambo ya maana sana hapa jukwaani. Hongera kwake!!
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Sep 15, 2017 #119 sergio 5 said: Joseverest rapper toka Jana mwanangu unaongea issue iyo iyo duh! Click to expand... Yameisha mkuu
sergio 5 said: Joseverest rapper toka Jana mwanangu unaongea issue iyo iyo duh! Click to expand... Yameisha mkuu
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 23,967 Reaction score 42,206 Sep 15, 2017 #120 Bado dakika tano hapa wakuu. Huyu mrembo yuko au kala kona