Aisee kwahiyo mlipewa ban wote
We mkakaNakumbuka huyu bwana mdogo alivyoanzishaga Interviews zake wabongo mlikuwa mnamponda sana kama anatafuta kiki.
Lakini leo ubunifu wake ndiyo unafanya ChitChat iwe moto moto mnataka kujimilikisha kipindi chake: Haiwezekani.
Si kuna mtu aliubugia bila kuangalia kama una pilipili au la yeye kafakamia tu matokeo yake akawashwa, kapaliwa na kuanza poromosha kashfa kwangu
Uko dunia ipiii huyo alikuwa na chibu znz
Hujanimiss tu?ha ha hahaaa naweka nyingine matata ila naogops SMG..
Hapana jamaan na wanaonunua mikorogo yake wana moyoMajinyenye jiki
Kama jiniHahaha sweet kavunja rekodi jaman
Wapookumbe wanafuatilia kimya kimya eeh
Hapo sijajua maana nilipokula ban nikahamia kwenye vikorea mpaka ban ilipoisha. Sijui nimuulize kama nae alikula ban au atatoa povu jipya hapa hahaha
eti alipaliwa
Halafu zari kama kawaida yake katema povu snap nasikiaDuuh ina maana hamisa kwisha wamehamia kwa mrembo mwingine kupambanisha na zari
Alikula ban na yeyeHapo sijajua maana nilipokula ban nikahamia kwenye vikorea mpaka ban ilipoisha. Sijui nimuulize kama nae alikula ban au atatoa povu jipya hapa hahaha
HahahaWapambane na hali yao
Tena moyo wa chumaHapana jamaan na wanaonunua mikorogo yake wana moyo
Hauendiii
Nimetoka huko huko ujue.
Tena ile kupaliwa halafu unalia kabisa
Napita kimya kimya tuHauendiii
Yule aliyekusababishia ban anamihemko yake...ulimuona jana kwa ff?
Yaaaniumekuwa ukhuty